Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

So let me get this straight, the last time an english club sacked a legend, hired a German and drew Atletico Madrid in the RO16 they went on to win the Ucl?
 
Ni heri tungebaki na PSG kuliko hao watukutu wa jiji la Madrid.

Mara ya mwisho kukutana nao ilikuwa kwenye kombe la Europa League walituchomoa na wakaenda kushinda kombe hilo wakiwa na Radamel Falcao.

Binafsi sikuwa na wasiwasi na fixture yetu na PSG kwetu PSG ni timu nyepesi sana kuliko Atletico kama tungepangwa na timu yoyote ya Spain ni heri tungepangiwa PSG.
 
PSG ilikuwa mchekelee kabisa..

Hawa wahuni wa Atletico ngoma itakuwa sio kitoto wakipewa sumu na El cholo..
 
Nimeangalia game ya Atletico ve liver home and away na vs mad4id ya juzi......atletico ushambuliaji sio hatari kiasi hicho
 
Haidara, Joao Felix na Frankie de jong wote wanapatikana january wanaweza tuongezea nguvu haswa martial akiondoka january
 
Ni heri tungebaki na PSG kuliko hao watukutu wa jiji la Madrid.

Mara ya mwisho kukutana nao ilikuwa kwenye kombe la Europa League walituchomoa na wakaenda kushinda kombe hilo wakiwa na Radamel Falcao.

Binafsi sikuwa na wasiwasi na fixture yetu na PSG kwetu PSG ni timu nyepesi sana kuliko Atletico kama tungepangwa na timu yoyote ya Spain ni heri tungepangiwa PSG.
Uko sahihi mkuu.
Ila kitu positive kwenye hii draw yetu inaenda kuchezwa February ambapo wachezaji watakuwa wameishauzoea mfumo na kumeza mbinu za Ralf vizuri na pia kuna dirisha dogo la January kama akiamua kuziba mapengo kadhaa.
Atletico huwa hawakupi nafasi nyingi sana za kumuona Oblak.
 
Haidara, Joao Felix na Frankie de jong wote wanapatikana january wanaweza tuongezea nguvu haswa martial akiondoka january
Mkuu de jong hawez kupatikana ,,,, anaangaliwa Kama future ya Barcelona ukichanganya na kina ansu, pedri, gavi n.k
 
Hivi Barca wanamuuza huyu dogo kwa sababu ya ukata au mfumo umemkataa?
Him coming to united is too good to be true.
Baba ake amesema de jong kuondoka barca kutasaidia barca kusolve financial problem....alafu Xavi mafikiri amemchagua pedri over de jong, kama nipo sahihi, so de jong hana namba na barca wanahitaji pesa kusolve idara nyingine kama ushambuliaji
 
Mkuu de jong hawez kupatikana ,,,, anaangaliwa Kama future ya Barcelona ukichanganya na kina ansu, pedri, gavi n.k
Baba ake jana usiku amesema.....De Jong father told AD: “Bayern or United? I know Barça need money and a great offer could help, but I don't see that happening. However, 5 best clubs in Europe have called for him”.

Na sababu ya hiyo yote amesema ni hali ya hewa kuwa mbaya lakini unaweza ona barca wapo tayari kumuuza
 
Haidara, Joao Felix na Frankie de jong wote wanapatikana january wanaweza tuongezea nguvu haswa martial akiondoka january
Ukimuondoa Haidara hao wawili sina imani na gharama zao. Joao miaka miwili iliyopita alisaini mkataba wa miaka 7 mpaka 2026. Atletico walikubali kulipa euro 126M kwa Benfica mpaka sasa hawajamaliza kulipa wanalipa kwa mafungu mafungu walilipa euro 30M awamu ya kwanza maana yake watatuuzia si chini ya euro 90M. Sioni thamani hii kwake.

Kwa upande Frenkie na yeye ni hvyo hvyo kama Joao mwaka 2019 mwanzoni alisaini miaka 5. Barcelona ss hivi wanaweka sawa vitabu vyao vya fedha hawatamuuza chini ya euro 70M. Wao walilipa euro 75M kwa Ajax. Ndiye mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa Barcelona (Pound 350k) maana yake akija MU atataka si chini ya hapo.

Kama utaangalia ktk kona ya gharama, Joao Felix au Frenkie De Jong gharama zao kwa mmoja mmoja zinaweza kutupa wachezaji wawili wenye uwezo zaidi yao au sawa sawa na wao mf. Pedro Goncalves na Amadou Haidara. Hapa nazungumzia amortization yaani transfer fee plus salaries halafu divide by contract length.
 
Usikufuru mkuu. Namuelewa Ronaldo pia. huyu wa sasa mpira uko mguuni anashindwa kuelewa haufanye nini sababu umemsogolea sana, anapiga shuti anaukosa mpira, Ronaldo huyu uwezo wa kucontrol mpira umeshuka, mipira inamgonga inaondoka, hawezi kupiga chenga, hawezi kugeuka n.k

anakabiliwa na issue ya umri ukijumlisha kwamba analazimika kuhakikisha haumii, anakuwa mzigo.
Yet he is our top scorer.

Ninachokiona, Rashid na Martial wakiimprove asilimia 10% kila mmoja, Ronaldo anakalia benchi.
Hapo kwa Martial bro napinga.
Huyo jamaa kesha fika mwisho wa ujuzi wake.
 
Ni heri tungebaki na PSG kuliko hao watukutu wa jiji la Madrid.

Mara ya mwisho kukutana nao ilikuwa kwenye kombe la Europa League walituchomoa na wakaenda kushinda kombe hilo wakiwa na Radamel Falcao.

Binafsi sikuwa na wasiwasi na fixture yetu na PSG kwetu PSG ni timu nyepesi sana kuliko Atletico kama tungepangwa na timu yoyote ya Spain ni heri tungepangiwa PSG.
Mkuu Atlético wa sasa sio wale wa enzi za Falcão, hawa wasasa ni vibonde South africa.

PSG wanawatu ambao wakiamua kudai chenji yao lazima uwape, lakini Atlético hawana watu hao.
 
Ligi imeisha? Unajua mkuu nakuheshimu sn usitake nianze kuku doubt.
Lakini kwa nini nakuona kama hautaki kabisa kuzungumzia PRESENT SITUATION.
Sababu approach yako ya kuzungumzia umahiri wa Ronaldo ni HISTORY/PAST BASED.
Sasa tena unataka tuangalie mambo ya ufungaji bora in FUTURE/FORECAST BASES.

Yaani kweli hatuwezi kuangalia mambo yanavyokwenda sasa na kufanya utambuzi wa Mambo?
 
Mkuu Atlético wa sasa sio wale wa enzi za Falcão, hawa wasasa ni vibonde South africa.

PSG wanawatu ambao wakiamua kudai chenji yao lazima uwape, lakini Atlético hawana watu hao.
jipe moyo ila cjaona bek wa kumkaba suarez

Sent using motorola 78
 
Back
Top Bottom