Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

United fans before the draw: We are not afraid of PSG, we have beaten them twice in recent times.

Uefa: Say no more

#Joke
IMG_20211213_160010_076.jpg
 
Draw imefutwa naona nyinyi kunguni mmeenda kuwalilia uefa kwamba psg ni wa moto.
Huna hata aibu, niseme huna hata akili tu kidogo tu, kutambua ya kwamba hio ilikua mechi ya mchongo au ya kibiashara kati ya mesi mzee na ronaldo, kama zilivyo tuzo za mchongo za Balon O Dor unawajua uefa unawasikia wewe, uefa ndio tifutifu( TFF) ya ulaya
 
Mabingwa watetezi tumepewa mteremko..😀😀😀

Mwenye nacho huongezewa. 😀😀

Tukutane Fainali na mbanga yeyote ile.
 
Daaaah Hahahaaaa yani Ronaldo umemgroup kweye unprofessional players, aaaah kwamba Ronaldo na Rashid ni kitu kimoja?? Seriously Rashid = Ronaldo? 😅😅😅

Kubalini kwamba li team ni la hovyo, na sio kumuangushia mzigo mtu mmoja, mnavyo comment ni kana kwamba sio Manchester United ambayo haina kombe kwa miaka 9 sasa.

Kana kwamba mlikuwa Champions na Sasa Ronaldo ndo amekuja kuwashusha mpaka kweye hiyo hali ya kuitafuta top four kwa torch.

Manchester united ilishakuwa team ya kawaida hâta kabla ya Ronaldo kuja.
ugomvi wa wanafamilia hautauweza, acha kupotosha.
 
Ronaldo ni yule yule mkuu miaka yote hajawahi kubadilika labda ubadilike wewe mkuu, atakukera mechi moja atakufurahisha mechi 10, yuko hivyo miaka yote tangu akiwa mdogo pale Utd.
Usikufuru mkuu. Namuelewa Ronaldo pia. huyu wa sasa mpira uko mguuni anashindwa kuelewa haufanye nini sababu umemsogolea sana, anapiga shuti anaukosa mpira, Ronaldo huyu uwezo wa kucontrol mpira umeshuka, mipira inamgonga inaondoka, hawezi kupiga chenga, hawezi kugeuka n.k

anakabiliwa na issue ya umri ukijumlisha kwamba analazimika kuhakikisha haumii, anakuwa mzigo.
Yet he is our top scorer.

Ninachokiona, Rashid na Martial wakiimprove asilimia 10% kila mmoja, Ronaldo anakalia benchi.
 
Umenchekesha mkuu ila ni maoni yako ngoja tuone.
 
Bruno tulikuwa naye na bado tukawa hovyo japo ni kweli alikuwa anafunga, Mana alikua anafunga goli mbili tunafungwa tatu, leo cr7 anafunga moja tunashinda mechi unajua kwnn? Kwasababu wachezaji wana ari cz wanajua ndani kuna mtu mkubwa, lkn pia wachezaji wa upinzani wanahofu na cr7 inapelekea kumkaba zaidi na kusahau kufunga.

Kuhusu Salah na goli 50, hivi kweli mkuu tumefikia kipindi Salah wa kulinganishwa na cr7 kwa uwezo?
Leo ipi tena mkuu. Tumefungwa Tano na Riverpool Ronaldo hakufunga, Nne na Leister akafunga kamoja, Nne na wale watoto gani sijui. unazungumzia hari gani aliyoleta Ronaldo?

Ukiondoa mechi tatu za mwisho wa msimu? zile ambazo tulikuwa hatufungwi ugenini, ukaangalia na mechi za msimu huu baada ya ujio wa Ranaldo, chini ya OLE, ni wakati gani wachezaji walikuwa na ari?

Mimi simzungumzii Ronaldo wa history, hatuwezi kwenda mbele kwa kufuata history mkuu.
 
History wkt ndio top scorer wako, are you serious mkuu?
 
Back
Top Bottom