Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

.
Screenshot_20211213-152245_Instagram.jpg
 
Official. Champions League draw will be repeated today. [emoji837] #UCL

“Following a technical problem, the draw has been declared void and will be entirely redone at 1500 CET”, UEFA announces. [Fabrizio Romano]
Super league process inabidi irudi hawa wapumbavu tulishapoteza imani nao.
 
PSG vs Manchester United ni mechi ya kutengenezwa, kwa walioangalia draw wanajua kabisa hii ni mechi ya mchongo.

Uhuni ulianza tulivyokuwa drawn na Villarreal, teams from the same group, how is that possible!? [emoji706]
Nilitaka nicommemt hivi pia....hiyo mechi ni ya kibiashara zaidi
 
Wanaiba idea ya super league sio..

Kwamba kila stage atleast basi kuwe na fixture moja ya kuvutia sana.

Uefa wamechemka sana na hii Messi vs Ronaldo.
Wanataka kupiga pesa mwisho mwisho, hawajamaliza kuezeka nyumba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaiba idea ya super league sio..

Kwamba kila stage atleast basi kuwe na fixture moja ya kuvutia sana.

Uefa wamechemka sana na hii Messi vs Ronaldo.
Draw imefutwa naona nyinyi kunguni mmeenda kuwalilia uefa kwamba psg ni wa moto.
 
Back
Top Bottom