Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,517
- 30,587
Halafu kuna watu wanataka Amad apewe nafasi over Greenwood.
Halafu kuna watu wanataka Amad apewe nafasi over Greenwood.
Amad bado..though kwenye FA cup huko Ole ampe nafasi.Halafu kuna watu wanataka Amad apewe nafasi over Greenwood.
Fred na ubovu wake lkn anatusaidiaga sana hapo kati..Leo kina Teilemans wanatembea tu kilainiMidfield iko wazi
Shida ya utd ni mbinu za ukabaji Haina,Ichoo TU.MtazMo wangu huoBado tunacheza averagely japo kuwa tunaongoza..
Watu wanapitwa kama wamesimama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbinu zozote hatuna.Shida ya utd ni mbinu za ukabaji Haina,Ichoo TU.MtazMo wangu huo
Huyu jamaa ni kirusi
Mkuu nani aliyesema Amad apewe nafasi over Greenwood? Kwamba Amad akicheza hata FA na Carabao itakuwa kachukua nafasi ya Greenwood? Btw wewe mkuu ulisema humuelewi bado Greenwood.Halafu kuna watu wanataka Amad apewe nafasi over Greenwood.
Linasubiri mpira uingie miguuni mwake
Carabao tumeshatoka atachezaje ?Mkuu nani aliyesema Amad apewe nafasi over Greenwood? Kwamba Amad akicheza hata FA na Carabao itakuwa kachukua nafasi ya Greenwood? Btw wewe mkuu ulisema humuelewi bado Greenwood.
Uzuri lawama atapewa Lindelof