Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu Ili iendelee inabidi Ole aache kuwaogopa wachezaji wake, inabidi wawe accountable na makosa yao uwanjani awaseme au benchi liwahusu bila hivyo sioni tukitoka hapa wana errors nyingi za wazi na anacheka tu kima yule.

Yani ukiangalia uchezaji hata pasi unaweza kudhani leister ina world class players kuliko united.
 
huyu jamaa yetu hata kama atazawadiwa fabinho, casemiro na ngolo kante ndani ya timu yake tusitegemee mabadiliko, timu yetu inaruhusu sana presha kutoka kwa adui na hili ni tatizo la mfumo mzima wa kiuchezaji. Ifikie hatua tuache kulaumu mchezaji mmoja mmoja kama tufanyavyo kila wiki.

#mufc have now kept just one clean sheet in the last 19 games
 
Hii coaching staff aliyonayo Ole haiwezi kumpa timu nzuri heri ampe kazi Rene Moulesteen au Rui Faria.
Nadhani pia anachagua wasaidizi kwa mazoea ni watu average sana alionao benchi.
Yani ni sawa mwanafunzi kilaza anakaa kusoma na vilaza wenzie ategemee matokeo baada atafute vipanga wamwonyeshe njia.
 
Hii timu inacheza kama wanakusanyana siku ya mech tu ina maana hata wao wazungu wenye timu yao hawaoni huu ujinga wa kocha?
Wanaona mkuu hope jamaa wameshaanza kumtafutia angle sasa hivi atoke tu.

Huwezi kuwa na timu inacheza vibaya namna hii consistently misimu mitatu halafu utegemee kushinda kombe lolote ?
 
huyu jamaa yetu hata kama atazawadiwa fabinho, casemiro na ngolo kante ndani ya timu yake tusitegemee mabadiliko, timu yetu inaruhusu sana presha kutoka kwa adui na hili ni tatizo la mfumo mzima wa kiuchezaji. Ifikie hatua tuache kulaumu mchezaji mmoja mmoja kama tufanyavyo kila wiki.

#mufc have now kept just one clean sheet in the last 19 games
Kwa sasa hatuna excuse nyingine yoyote ni poor coaching
 
Naona Leicester wanakabia juu kabisa hii inafanya mabeki wetu kufanya makosa mengi sana, naona dalili zote za kupoteza tena game
huyu jamaa yetu hata kama atazawadiwa fabinho, casemiro na ngolo kante ndani ya timu yake tusitegemee mabadiliko, timu yetu inaruhusu sana presha kutoka kwa adui na hili ni tatizo la mfumo mzima wa kiuchezaji. Ifikie hatua tuache kulaumu mchezaji mmoja mmoja kama tufanyavyo kila wiki.

#mufc have now kept just one clean sheet in the last 19 games
 
Mechi za hii timu yetu nikisikia imeshinda naangalia highlights tu basi,hii timu inategemea bahati tu,wakati wenzetu wanakaza buti,in short huyu kocha ni mtu wa bahati Sanaaaa...
 
Kwa sasa hatuna excuse nyingine yoyote ni poor coaching
brother, hatuna kisingizio wala yeye mwenyewe hatakiwi kuwa na kisingizio.
hii ni mechi ya nne tunacheza na leicester city tunaingia uwanjani tukiwa uchi, angalia timu muda wote timu ipo chini eti tunawaogopa hawa wajinga.
hatuwezi hata kuwapa presha wachezaji wao, yule amartey anacontrol mpira anavotaka bila ya kughasiwa.

inaumiza sana
 
Back
Top Bottom