Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Heri hata angeanza na Scot hapo kwenye backlineI think Maguire hakupaswa kuanza hii game bado hayuko fit
Heri hata angeanza na Scot hapo kwenye backlineI think Maguire hakupaswa kuanza hii game bado hayuko fit
Mkuu uwe unakubali kushindwa mzee wakati mwingine, kwani Carabao tumeanza kucheza mwaka huu, au Amad alikuja tukiwa tumeshatolewa?Carabao tumeshatoka atachezaje ?
FA mechi hazijaanza mkuu.
Sio hayuko fit bali ana errors nyingi huyo mwingereza.I think Maguire hakupaswa kuanza hii game bado hayuko fit
Msimu uliopita Amad alikuja January hope tulikuwa tumeshatolewa na Man City kwenye kombe la Carabao.Mkuu uwe unakubali kushindwa mzee wakati mwingine, kwani Carabao tumeanza kucheza mwaka huu, au Amad alikuja tukiwa tumeshatolewa?
Yaani Pogba wa Ufaransa na huyu wa Man naona kama watu wawili tofauti, nilichokiona kutoka kwake ni style yake ya nywele.



Aya bhn.Msimu uliopita Amad alikuja January hope tulikuwa tumeshatolewa na Man City kwenye kombe la Carabao.
Msimu huu wakati tunacheza Carabao Cup Amad Diallo alikuwa na injury mkuu.
Uwe unafuatilia mkuuAya bhn.
Watu wanacheza kama wanamimba changaHii timu si ya kishindani kabisa, yani ni ya hovyooo
Nawezaje kustream hii game mazee?