★Mkuu huyu Kipa alezubaaga wenu
Mkuu Huo mji wa Manchester si uko kama nyuma ya friji
IMG_20201125_211611_964.jpeg
 
brighton, leeds united na southampton. timu zote hizo zina walimu wazuri na ndio timu bora baada ya liverpool na man city. naruhusu mjadala kwa ambaye amewahi kuziangalia hizo timu japo kwa mechi 3. pattern pattern pattern
[/QUOTE

Leeds wanachza vizuri ila ndo rahici sana kufungwa wanapeki rahic sana kupitika
Ukij kwa Brighton wako vzr in difference ila very poor in attacking

Apo Southampton t ndo bora Zaid kuliko awo wawil
 
Back
Top Bottom