Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kipimo nilichokuwa nakisubiria kwa bwana ole gunnar ili nimhukumu vilivyo kimekaribia.

wale wahuni wana pressing kuliko mbwa mwenye kichaa na tukishindwa kuicontrol mechi pale kati basi tumeumia.

Romeu and Ward Prowse are very strong, sidhani kama tutaanza na midfield wa mechi iliopita dhidi ya waarabu wa turkey.

matokeo ya ushindi si tu ninayoyasubiria bali hamu yangu ni kumuona Ole akimdhibiti kiufundi mtaalamu ralph hasenhüttl.

nimeshaanza kutetemeka wala siku yenyewe haijafika na wasiolewa mpira watadhani jamaa amechanganyikiwa na stori za halima.

wazee wa 4-4-2 inayonyumbulika hadi 4-2-2-2 wanatusubiri pale kwa mtakatifu
tukutane jumapili inshaallah,
mwalimu bora uingereza baada ya klopp
1606403871738.png
 
Tuendelee kustick na Fred na Scott hadi lini mkuu?..Offensively tuna struggle sana na hii combo na siku hiyo Fernandes akiwa hayupo mchezoni basi shughuli inakuwa ngumu..

Big match tunaweza kuanza na McFred strategically..lakini hizi burnley,fulham,n.k embu tucheze na hii mido combo tuone aisee

Hata mbeleni ningependa tuwe na Middle atleast wawili wanaoweza kuwa too offensive na mmoja wao kuwa na uwezo mkubwa wa kukaba pia..For the meantime tuipe chansi Fred,VdB na Bruno tuone
Yaani bado unataka usajili midfield ?
 
ni kutokana na tabia yake ya kupenda kujaribu jambo gumu bila ya kujali position aliopo, hata mimi mwanzoni nilikuwa nachukizwa na tabia yake.

nimejifunza ni bora bruno anayepiga pasi kwa adui kuliko bwana midfield anayetamba na square pass
Bruno anafanya anachotakiwa kukifanya uwanjani binafsi huwa sipendi uchezaji wa English midfielders wengi wa kupiga square passes nyingi ili wamaintain possession.
 
kipimo nilichokuwa nakisubiria kwa bwana ole gunnar ili nimhukumu vilivyo kimekaribia.

wale wahuni wana pressing kuliko mbwa mwenye kichaa na tukishindwa kuicontrol mechi pale kati basi tumeumia.

Romeu and Ward Prowse are very strong, sidhani kama tutaanza na midfield wa mechi iliopita dhidi ya waarabu wa turkey.

matokeo ya ushindi si tu ninayoyasubiria bali hamu yangu ni kumuona Ole akimdhibiti kiufundi mtaalamu ralph hasenhüttl.

nimeshaanza kutetemeka wala siku yenyewe haijafika na wasiolewa mpira watadhani jamaa amechanganyikiwa na stori za halima.

wazee wa 4-4-2 inayonyumbulika hadi 4-2-2-2 wanatusubiri pale kwa mtakatifu
tukutane jumapili inshaallah,
mwalimu bora uingereza baada ya klopp
View attachment 1635337
This time huenda tukamwadhibu Danny Ings hatakuwepo na Redmond pia.

Huyu Redmond ni msumbufu sana na hachoki kukimbia threat nyingine ni Che Adam' pamoja na Ward Prowse.
 
Hahaha watu wanaangalia results tu na siyo factors zingine.
Tunajua kuwa watakuwa dominated easily na viungo aggresive lakini haliondoi ukweli kuwa kucheza na McFred kila siku wasioweza kutoa hata final passes za kueleweka ni kujichelewesha tu..hatuwezi kuwa tunamtegemea Bruno tu kama roho ya timu..

Tunahitaji viungo wanaoweza kukeep possession,kukaba na kutoa final passes nzuri..
 
Back
Top Bottom