Bila penalti hampumui kabisa NYUMBU nyie
Hatuna straika kabisa wa kueleweka..Ile hela tulotakiwa tukamchukue nayo Sancho, tuitumie kumchukua Erling Haaland.
Kwani penalt hairuhusiwi kwenye football?
Bola nusu shari kuliko shari kamili.
Huna akili wewe!
Kenge imeshika mpira, ulitegemea lefa angetupa pipi tulambe?
Tumepiga penalt sababu ni sehem ya sheria za soccer.
Hata akitokea pembeni ni mzigo tumartial akitokea pembeni anatishs kumchezesha kati ni kumuonea
Shida sio perfomans shida ni umaliziaji wa nafasi tunazopata ndio kinachokera tena nyumban kwa timu iliyoruhusu goli 17 kwenye ligi jana spurs kacheza mpira ambao hauwezi kuwapa matokeo lakin wamepata na credit kachukua jose martia na rashford ndio mastriker tunawategemea halafu wanakosa sana magoli mech ya jana ilikuwa inaisha kati ujuedah ila negativity za huu uzi wetu ni top level, kipindi cha fergie mechi kama hizi zinaweza zidi hata 10 kwa msimu, nimeshuhudia Man U kuanzia mwezi wa 11 mpaka wa kwanza hatujui ushindi zaidi ya 1-0 zaidi ya mwezi, tena magoli ya lala salama.
kuna siku mnacheza vizuri mnashinda, na kuna siku perfomance inakuwa mbovu unakubali hata 1-0.
liverpool msimu uliopita majority ya mechi zao walishinda kama hivi, even spurs mechi iliopita na wes Brom walikuwa kama sisi.