Sasa kwann mnategemea penalti tu? Kwan safu yenu ya ushambuliaji haiwezi kufunga mpaka mpewe penalti.?
Argentina wangekuw mabingwa wa copa amarica kama mess angepata penat huu mjadala ni wa kitoto kwa watu wa mpira hivi epl kuna timu haijapiga penat na ikashinda? Nitajie timu iliyokataa penat baada ya mwamuzi kutoa
 
dah ila negativity za huu uzi wetu ni top level, kipindi cha fergie mechi kama hizi zinaweza zidi hata 10 kwa msimu, nimeshuhudia Man U kuanzia mwezi wa 11 mpaka wa kwanza hatujui ushindi zaidi ya 1-0 zaidi ya mwezi, tena magoli ya lala salama.

kuna siku mnacheza vizuri mnashinda, na kuna siku perfomance inakuwa mbovu unakubali hata 1-0.

liverpool msimu uliopita majority ya mechi zao walishinda kama hivi, even spurs mechi iliopita na wes Brom walikuwa kama sisi.
OGS hamna kocha mule, yaani ushindi wa jana 1 - 0 ndio ushindi wa kwanza OT msimu huu, anang'ang'ana na 4-2-3-1 wakat haumpi matokeo, sielew mazoezin uwa anawafundisha nin vijana? Maana tukicheza na hata underdog tunapata ushindi kwa tabu

Kibaya zaidi sioni dalili za yeye kufukuzwa, yaani Koeman kule Barcelona atafukuzwa mapema kabla ya OGS

Yaani sometime nahisi Woodward na wamarekani wake wapo kuihujumu timu yetu pendwa

Kikosi chetu apewe manager anayejitambua like Carlo Ancelot im sure tunakua title contender

Moja ya ubora wa manager ni kupandisha viwango vya wachezaji wake, ila kw huyu OGS kuna siku tutamkataa Bruno hapa, lets wait
 
Ila kuna kipindi hapa mlikuwa mnamsifu sana huyo straika wenu leo anaonekana mzigo, NYUMBU bana .
 
jicho langu dhaifu linaniambia antony martial hakuweza kushinda mpira wowote aliowania dhidi ya adui ambao ulipigwa nje ya sehemu aliopo. sijui ni uvivu au ni ulegevu?
Ukweli ni kwamba Anthony Martial msimu huu yuko hovyo sana tena sana.

Lakini kwa msimu mitatu mfululizo Martial asipopata injury akapumzika kidogo hali hii huendelea kuwa mbaya zaidi.

Anaonekana wazi kachoka sijui kachoka na nini huenda mechi za usiku anazicheza kwa fujo
 
OGS hamna kocha mule, yaani ushindi wa jana 1 - 0 ndio ushindi wa kwanza OT msimu huu, anang'ang'ana na 4-2-3-1 wakat haumpi matokeo

Kibaya zaidi sioni dalili za yeye kufukuzwa, yaani Koeman kule Barcelona atafukuzwa mapema kabla ya OGS
mechi yetu dhidi ya west ham sijui itakuaje hiyo siku. wale jamaa jana walikuwa wanacheza watano pale nyuma na umeona jinsi tulivyokuwa ovyo kanakwamba hatukufanya maandalizi yoyote. sisi tunakuwa bora zaidi tunapocheza na timu mfano wa everton(timu zinazoruhusu kukimbizwa).. next match ni southampton ambao msimu uliopita tulivuna suluhu mechi zote
 
mechi yetu dhidi ya west ham sijui itakuaje hiyo siku. wale jamaa jana walikuwa wanacheza watano pale nyuma na umeona jinsi tulivyokuwa ovyo kanakwamba hatukufanya maandalizi yoyote. sisi tunakuwa bora zaidi tunapocheza na timu mfano wa everton(timu zinazoruhusu kukimbizwa).. next match ni southampton ambao msimu uliopita tulivuna suluhu mechi zote
Mkuu timu yetu tatizo siyo kina martial wala mchezaj yeyote, tatizo ni OGS tu

OGS hata umpatie Mbape, KDB muongezee na yule Messi wa Guardiola, hatupi EPL

Kama umechunguza ushindi wetu ni inategemea na kujituma kw wachezaji au wachezaj wameamkaje na si mbinu za kocha, ndio maana hatuna mfululizo wa +results
Unamfunga PSG away, unamfunga Leipz goli 5 then unaenda pigwa 6 na totenham tena kwa kiwango kibovu
 
Back
Top Bottom