Beki la dunia lenye thamani ya shilingi paundi milioni 80 katika ubora wake.
tapatalk_1599743898325.jpeg
 
dah ila negativity za huu uzi wetu ni top level, kipindi cha fergie mechi kama hizi zinaweza zidi hata 10 kwa msimu, nimeshuhudia Man U kuanzia mwezi wa 11 mpaka wa kwanza hatujui ushindi zaidi ya 1-0 zaidi ya mwezi, tena magoli ya lala salama.

kuna siku mnacheza vizuri mnashinda, na kuna siku perfomance inakuwa mbovu unakubali hata 1-0.

liverpool msimu uliopita majority ya mechi zao walishinda kama hivi, even spurs mechi iliopita na wes Brom walikuwa kama sisi.
Shida sio perfomans shida ni umaliziaji wa nafasi tunazopata ndio kinachokera tena nyumban kwa timu iliyoruhusu goli 17 kwenye ligi jana spurs kacheza mpira ambao hauwezi kuwapa matokeo lakin wamepata na credit kachukua jose martia na rashford ndio mastriker tunawategemea halafu wanakosa sana magoli mech ya jana ilikuwa inaisha kati ujue
 
Back
Top Bottom