Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Tutafika tu wana GGM, Natamani nipate mtu aliyekuwepo miaka ya 1986-1992 wakati Ferguson anapitia kipindi kigumu kama cha sasa, atupe uzoefu wa kuyavumilia haya ya sasa, maana mashabiki wengi hawana uzoefu na hiki tunachokipitia. Mind you, tuliwahi kupitia hali hii miaka hiyo but muda ulikuja tukafaidi matunda ya uvumilivu wetu kwa kipindi cha miaka 26. So timu inajengwa tena kuja kutawala tena kwa miaka mingi. GGM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka hiyo soka halikuwa na ushindani wa kibiashara kama sasa.
Mind you, Ferguson alikaa miaka yote hiyo akisubiriwa, lakini toka aondoke ni almost muda sawa ila mna 4 coaches now.