Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Ngapi ngapi

Vita nafasi ya 4
Wapinzani wanaofuata kwa Man Utd na Chelsea
Man Utd VS Everton, Watford, Newcastle & Burnley
Chelsea Vs Tottenham, Southampton, Arsenal & Brightom
Kaugonjwa ka mechi ndogo kasiturudie
Sent using Jamii Forums mobile app
Bournemouth wamefanya kazi nzuri sana leo tunatakiwa tushinde kumtoa wolves na pia kupunguza gap na daraja la mbao
Hivi ni mimi tu ninae ona bwana mdogo GreenWood ana score kama Kama Van Persie.At least now a days tim yetu inacheza kwa mipango Japo finishing bado ni tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo analijua goli kuliko hata kina Martial na Rashford. Greenwood, Scott na Daniel James, hawa madogo watatu wanajua nini wanafanya. Yote kwa yote alichofanyia Moise Keane kimeniuma japo ni timu pinzani. Nimeona hadi Shaw kaenda kumfariji. |
Sisi mashabiki murua kabisa wa mashetani wekundu tunaomba utuachie timu yetu, Ole Sendeka mbele kwa mbele kwa big matches tuHiki ni nini sasa??
Shida ni nini??
Tunahitaji watu kama Greenwood..yaani hata kwenye tight space anakuweka

Yaani Rashford na Lingard wamekosa magoli ya wazi, dogo kapata assist from James, nilifikiri atatoa pasi bcoz alikua kazibwa sana, cha kushangaza katia kamba ivyo ivyo, japo nimefadhaika na results ila nina furaha leo ni siku mbaya kwa foward line zetu rashford, martial n lingard, dogo Greenwood kawadhalilisha sanaHiki ni nini sasa??
Shida ni nini??
Tunahitaji watu kama Greenwood..yaani hata kwenye tight space anakuweka
Umesahau kumjumlisha Fred hapo
Huyu dogo analijua goli kuliko hata kina Martial na Rashford.
Greenwood, Scott na Daniel James, hawa madogo watatu wanajua nini wanafanya.
Yote kwa yote alichofanyia Moise Keane kimeniuma japo ni timu pinzani. Nimeona hadi Shaw kaenda kumfariji.