Ya Chelsea na Leicester yamejirudia.
Man U haijawa tamu. Ni tofauti na ile iliyocheza na Chelsea.
Haijaonyesha consistent ya kiwango, Maguire na WanBissaka wana kazi ya kuprove viwango.
Maguire + Bissaka mpaka wafunge magoli ndio uone wanacheza vzr..??
 
Sio mbaya..i can take it

√Martial inabidi aongeze bidii

√Daniel James naamini atazidi kuimarika

√Defence naona error zimepungua,kimsingi tumeimarika

√McTominay kuna kitu kidogo nahisi kama ana miss,na huwa kuna muda hawi sharp,anakuwa kama amelala..though leo pia amecheza poa kiasi fulani

√Watu mnamponda sana Lingard kiasi cha kusahau kuwa ndo yeye aliyehusika na goli letu..jamaa ni mzuri sana kwenye kubreak,link up play,fast dribbling..kuna kazi anaifanya uwanjani na sioni mtu wa kumweka benchi kwa kikosi hiki labda Mata kwa mbali..Though tunahitaji world class No 10
 
Mechi ya leo tumecheza vizuri

Tumetengeneza nafasi za kutosha japo tumeshindwa kuzitumia

Naona United iliyoboreka ukilinganisha na ile iliyopigwa na Wolves msimu uliopita

Bado sijaelewa kazi ya VAR, mchezaji wa Wolves alizidi mkono wakati anatoa pasi ya goli

Kukosa penati ni jambo linalovumilika kwa mchezaji katika soka, swali ni je Pogba ameng'ang'ania kupiga penati wakati si mteule wa kocha au?

Hapa naona vidudu mtu wengi wanazengea zengea, lakini amini nakwambia katika big six timu itakayochukua pointi angalau 1 nyumbani kwa Wolves basi hao ni wanaume

By the way, Uwanja uliinama

GGM
 
Huyu jombaa wamruhusu tu aondoke.
Pamoja na kuitwa the best midfielder
Ila wamruhusua aende spain, itakuwa ni kweli jamaa hana furaha.
Penati kakosa na leo kiungo kapoteana kweli.
Moment kama hizi ndo huwa tunamkumbuka babu fergie, alikuwa haruhusu mchezaji aipande timu kichwani.. yaani ukileta usechu hauchezi na unauzwa.
Morali ya wachezaji imeshuka..tutegemee droo nyingi sana.
Yaan hadi usingizi umegoma kuja. Dadekii
Ni masifa tu,mpigaji alikuwa Rashford, Ole amemfanya Pogba awe juu ya timu na ataharibu mshikamano wa timu muda sio mrefu.
 
Back
Top Bottom