Mkuu umepotea sana humu ndani..
Zile GIF za magoli ulikuwa unatoa wapi nikurithi kitengo😃
Rashy ana mkataba mnono sana kumuuza itakuwa mtihani mkubwa lakini hawa wengine ni vyema wakauzwa mapema hasa Bruno yuko kwenye kiwango kizuri tunaweza kuvuta mpunga wa maana.UTD imefeli kwa sababu ya kutojua ni Muda gani sahihi wa kufanya Dili zake na wachezaji kuhusu Mikataba na Ishu ya Sajili Pia.
Herrera, Mata, De Gea, Pogba, Lingard, Matic, CR7, Zlatan, Cavani, Varane, Martial, Hakuna hata Mchezaji Mmoja UTD imepata hata senti kwenye kuondoka kwao. Wote wameondoka kama FREE AGENTS.
Bruno ni Mzuri sana lakini huwezi tengeneza timu kumzunguka Ligi ikianza anaingia Miaka 30, Shaw anafika 29, Rashy 27 na hamna namna unaweza tengeneza timu kumzunguka hana Mentality ya Kuibeba timu.
BRUNO, SHAW, RASHY ni Muda sahihi wa Kuwauza kipindi hiki wanauzika.
Amad hakuwepo uwanjani ?Mipira aliyopata Garnacho angepata Amad gemu ingeisha mapema sana siku ya Arsenal
Sawaa mkuu tupo pamojaMajukumu pia MB. GIF zinakula bando sana.Itakua poa sana mkuu
Ile application inaitwa all football ipo playstore. Siku ya match ndo kuna GIF
Alikuwepo Mkuu... Naongela chances ambazo Garnacho alizikosaAmad hakuwepo uwanjani ?
Hamna timu palemme ona tofaut ya kocha na mpangaji kikosi ..Chelsea haooo wame jipata while nyumbu na kipara wao kila siku wana danganya boys played well
Wauzwe wachezaji wote na kocha wap,hamna timu paleRashy ana mkataba mnono sana kumuuza itakuwa mtihani mkubwa lakini hawa wengine ni vyema wakauzwa mapema hasa Bruno yuko kwenye kiwango kizuri tunaweza kuvuta mpunga wa maana.
Umtegemee Rashford Na Antonio utegemee kumpita Chelsea.Yani Chelsea kutupita nayo imeuma sanaa how eeeh.
Nadhani wachezaji wenu wengi ni wazuri. Wanahitaji kujiamini zaidi na kuipambania timu zaidi.Ukiiangalia timu yetu jina la mchezaji mmoja mmoja kama shabiki unajua tuna timu mbovu. Bahati mbaya sana tumekaa na hawa wachezaji si chini ya misimu 3 hadi 5 lakini hawabadiliki kiuchezaji, hawafuati mbinu za walimu na hawana ubora katika maeneo yote uwanjani. Lakini ukipata taarifa ndio wachezaji tunaotegemea kuwaona tena msimu ujao kama backbone ya timu, unaanza kukata tamaa kabla hata ratiba ya mechi ya msimu ujao haijatoka.
Sahihi! Bruno, Rashy, Shaw, Casa Hawa wakati Mzuri kuwauza. Rashy amesaini mkataba Mpaka 2028 na kwa wiki anachukua 375k + Bonus, Casa anachukua 450k + Bonus, Ukiangalia Wastani wa Umri wao na Unataka tengeneza timu wote ni wa Kuondoa.Rashy ana mkataba mnono sana kumuuza itakuwa mtihani mkubwa lakini hawa wengine ni vyema wakauzwa mapema hasa Bruno yuko kwenye kiwango kizuri tunaweza kuvuta mpunga wa maana.