Sio mbaya..i can take it
√Martial inabidi aongeze bidii
√Daniel James naamini atazidi kuimarika
√Defence naona error zimepungua,kimsingi tumeimarika
√McTominay kuna kitu kidogo nahisi kama ana miss,na huwa kuna muda hawi sharp,anakuwa kama amelala..though leo pia amecheza poa kiasi fulani
√Watu mnamponda sana Lingard kiasi cha kusahau kuwa ndo yeye aliyehusika na goli letu..jamaa ni mzuri sana kwenye kubreak,link up play,fast dribbling..kuna kazi anaifanya uwanjani na sioni mtu wa kumweka benchi kwa kikosi hiki labda Mata kwa mbali..Though tunahitaji world class No 10