StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 3,679
- 3,718
Fergie atabaki kuwa fergie tu.Nidhamu kwanza
Mimi kwa madudu ya Pogba nitaendelea kumlaumu Ole, Aguero mchezaji mkubwa na bora pale City juzi tumeona anakoromewa na kutolewa kwa kutokukaba. Ole yupo anaendelea 'kuchua' kiburi cha Pogba.
Kama kocha anasema penalty zipigwe na Rashford si dharau yeye kwenda kuomba kupiga?
Ole alitakiwa kujenga nidhamu kwanza katika timu ndio mengine yafuate.