Hammy Trafford
Member
- Aug 19, 2018
- 43
- 76
Sasa Nasemaje tengeneza kikosi chako unachokijua halafu kilete kicheze na Manchester united Eti Maguire anajificha kwenye takwimu!!!!tengeneza hoja acha chuki na kuchambua mpira kishamba
Kwa muono wangu mdogo, Maguire naona bado sana na mtakuja kumtukana ,mtu pekee ambaye mmepata ni Bisaka , huyu jamaa ana pandisha timu anakaba pia , ila kwakuwa mlishinda 4-0 ,basi Maguire anajificha kwenye takwimu ,ila tukija reality Maguire ni mzito ,hivo akikutana na viberenge au mchezo wa kasi sana ,anapotea ,hili wana man u wengi hamtaki kulisikia ,lakini muda utasema
Niungane na raisi wa Napoli aliyesema thaman ya Maguire ni £30-35m , natoa mech 5 ,mtakuja hapa kutafuta mchawi ni nani
Hebu fikiria Chelsea mbovu hii isiyo na matumain ya hata ya nafasi ya 10 ,ilikuwa ibatengeneza nafas clear mbele ya Maguire ,kinachoficha udhaifu niliouona kwa Maguire ni takwimu za hapa na pale ambazo hizo takwimu hata beki mbovu Mustafi au lovren wanazo kuzidi Maguire ,hivo wana manchesta msijipe moyo na matarajio makubwa kwa magwaya .
Kwa Bisaka sina neno ana kila kitu ambacho FB anatakiwa awe nacho, ila Maguire mhhh muda utasema.