Jamani kazi ya washabiki ni kushangilia kama mshabiki nguli wa chelsea nasema hivi hiyo 80 M sterling haijatoka mfukoni mwangu hainiumi kabisa na washabiki wengine msiumie maana haijatoka mfukoni mwenu.Ngoja nijenge nchi kwanza tutakutana EPL ikianza
Sawa

Smart guy
 
MAN U kukosa DIRECTOR OF FOOTBALL kuna wagharimu, mtaendelea kupiga mark time siku zote , hivi ukiacha kiwango cha juu cha Maguire katika world cup, ni lini alifikia hata uwezo wa Lewis Dunk wa Brighton,
Mimi nafurahi maana laiti mngekuwa na DOF mzuri, mngeleta majembe kweli kweli , usajiri wenu mnajaza waingereza tu ambao viwango vyao ni amplitude,
Mmeuziwa bisaka kwa 50 mchezaji ambaye amefluke in one season ,
Leo mnauziwa Maguire kwa 80 ,
Hivi mnajua Maguire ni mzito sana , ngoja tuone , mtakavyoshikana mashati na kurudi kusema tatizo ni Edwoodward ,
City wanted Fred
United Signed him
Flopped next season
City wanted Sanchez
United signed him
Flopped next season
City wanted Maguire
United Signed him
Guess
haahaaa
 
Acha ujinga..

1.Koulibally napoli walikuwa wanataka zaidi ya £100 kumuachia..na ana miaka 28 kama sijakosea(yupo ukingoni)

2.Varane mwenyewe alisema hataki kuondoka madrid na zidane alisema hamuuzi..je unajua ana-release clause ya pesa ngap ili UTD tumchukuei!? Guess what..ni zaidi ya £80 tunazolipa kwa maguire..

...so chill and be humble..
Watu wengi wanajidai hawaelewi

VVD wa sasa hivi ni wa £100m+, si yule wa Southampton wa £75m ambaye alikuwa bado not proven katika stage kubwa

Varane, Koullibally wapo kwenye range ya bei hiyo hiyo ya VVD ya sasa au zaidi

Skriniar wa Inter Millan not for sale

De Legt ni £65m lakini anataka Champions League football, amekuwa akiitumia United ili apewe mkwanja mkubwa kule anapotaka kwenda

Maguire kwa £80m+ ni kubwa lakini hata VVD kwa £75m ilikuwa kubwa mno
 
Hii tunaoweza kuamini, sio The Sun
skysports___Bz8YrNGA7mp___.jpeg
 
Yaan mngekuwa na watu wa mpira kwenye bodi yenu ,sasa hivi tungekuwa tunazungumza mengine ,

Hiv mnajua Man u inalishana kidogo na man city katika kuspend ? Lkn kwenye pich ni mbingu na ardhi.

Usajiri wenu wa sasa tulitegemea mlete watu wanaoujua mpira sio hao wanaokuzwa na media kisa Uingereza,

Cha ajabu mmekomaa na waingereza ambao uwezo wao unakuzwa na media ,muda ni hakimu mzuri

Maguire hastahili hiyo bei ndio maana Pep kakataa ,
Ulitegemea wew na nani.?? Na wew kama nani?
 
Well miaka imebadilika. Leo hii atletico wanamnunua kinda kwa 120m... wkt 2009 wangemchukia kwa 20m.
Nyanya iliyokuwa inauzwa 50 mwaka 2008 leo ni 500.
Vitu vinapanda bei kila mahali. Ni jambo lisilokwepeka.
Uchukue EPL Title na huyo Greenwood ambae yawezekana hajacheza hata mechi tano za EPL mpaka sasa tunavyoongea?
Acheni watu watengeneze team unazan unatengeneza team kwa msimu mmoja?
 
Watu wengi wanajidai hawaelewi

VVD wa sasa hivi ni wa £100m+, si yule wa Southampton wa £75m ambaye alikuwa bado not proven katika stage kubwa

Varane, Koullibally wapo kwenye range ya bei hiyo hiyo ya VVD ya sasa au zaidi

Skriniar wa Inter Millan not for sale

De Legt ni £65m lakini anataka Champions League football, amekuwa akiitumia United ili apewe mkwanja mkubwa kule anapotaka kwenda

Maguire kwa £80m+ ni kubwa lakini hata VVD kwa £75m ilikuwa kubwa mno
Hata Huyo Maguire hiyo 80m ni plus Add-ons, ninavyofahamu hizo hazilipwi mpaka vigezo Fulani vitumie, Fee inayosemwa ni 60m.

Kama Glazzer amechota 1.3B kulipa madeni yake Wala sioni tabu tukitoa Hata 200m kusajili Mchezaji anayekuja kutu improve, Man U Kuna hela nyingi tu zisizotumika ipasavyo.
 
Mashabiki wa united bhana..... Baada ya game ya jana watu wameanza kusema kuwa tunahitaji CB hapo leo habari zinasema tunaenda kumsajili Maguire bado watu wanataka tumsajili Varane.......

Ngoja tumpeni uhuru solskjaer tuone anataka kufanya nini na kikosi.....
Tuna mabeki wa kati kibao ambao wapo comfortable kucheza upande wa kulia, lindelof, Baily, Smalling, Axel, Jones, etc kushoto tuna Rojo tu, Maguire yupo comfortable kushoto ni must buy. Huwenda jamaa akatu improve Sana. Tumalize beki tuanze midfield.
 
What happened to the Maguire's Monday medicals?
I still wonder too!! I think it was a made-up fake news for attention seeking for both united and maguire himself with a little involvement from the foxes themselves..Maguire wants to inspire his deal to be completed quickly and his desire right now is to move from his club and joins a new one as he regards pre-season matching!!

And this fake news, I think these sources must be paid first so they can generate them and initiate any deals!
 
Moja ya issues kwenye soccer nimeshindwa kufanyia follow-ups ni transfer gossips.

Huwa nasubiri BBC aripoti tu final ndo nachukua.
 
Kwa wale ambao wanajiuliza kwanini Fred hayupo na Timu. Jamaa ameoa.
Screenshot_20190716-105614__01.jpg

Mwaka Jana Lindelof alivyooa alirudi kwa kasi Sana, Let's hope Fred atarudi kwa kasi pia.
 
Back
Top Bottom