Phil Jones auJones katupia...hahahaha!!!
Duh kitimu cha championship kinawezwa kupigwa hata 10Martial kwa penati sahv 4
Walikuwa wanapanda hao wamefungwa playoff na Derby, sio wabaya Sana.Duh kitimu cha championship kinawezwa kupigwa hata 10
Haha lakini hawawezi kuwa level ya man unitedWalikuwa wanapanda hao wamefungwa playoff na Derby, sio wabaya Sana.
Hawa walikaribia kuingia Premier League, walipigwa kwenye play off kwahiyo sio wabaya kiivyoDuh kitimu cha championship kinawezwa kupigwa hata 10
Mkuu naona mnatest mitambo ,mambo sio mabayaHawa walikaribia kuingia Premier League, walipigwa kwenye play off kwahiyo sio wabaya kiivyo
YaahKipimo kamili kitakuwa jumamosi dhidi ya Intermilan
Mkuu upo sawa sawa,ushindi huu wa united nadhani utakupunguzia machungu kidogo kwa yaliyo kukuta.Yaah
Tukutane na mtaalamu Antonie Conte

Acha mambo yako mkuu..mi nisha-move on
Mkuu upo sawa sawa,ushindi huu wa united nadhani utakupunguzia machungu kidogo kwa yaliyo kukuta.
Ndio mkuuMkuu naona mnatest mitambo ,mambo sio mabaya