Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sisi watu masikini tunaposhobokea mambo kama haya lazima tunakuwa na tatizo hata kama hatujalitambua.
Hao wachezaji tu ni mabilionea wakubwa sana, wakija hapa nchini wanaweza weka serikali yetu mfukoni na tukaanza kuwalalamikia.
 
IMG_5918.JPG
 
Well miaka imebadilika. Leo hii atletico wanamnunua kinda kwa 120m... wkt 2009 wangemchukia kwa 20m.
Nyanya iliyokuwa inauzwa 50 mwaka 2008 leo ni 500.
Vitu vinapanda bei kila mahali. Ni jambo lisilokwepeka.
Mkuu watu wanashangaa utafikir LEICESTER ni Academy yao eti wabebe tu wanavyotaka...
 
Do United realise they could probably get any CB in the world apart from VVD, Varane and Koulibaly for £80m, and they’ve gone for Maguire? Baffling
Yes lakin team zao husika zinawauza? Je liverpool,varane.. koulibaly timu zao zinawauza?
Real walikataa varane kuuzwa..liverpool kwa sasa hawataweza ruhusu VVD kuuzwa. Koulibaly walitaka 70£ milloin. If ingekuwa rahis wangechukua mmoja wao.. ila ndio hivyo
 
Kusema kweli usajili wetu unafuata uelekeo unaokera sana. Hadi sasa tumesajili wachezaji 3 na wote wana asili ya UK. Sawa inawezekana ole kaangalia uwezo na ari sikatai ila kwenye soko hili kuna wachezaji wana uwezo na ari kubwa kuliko hawa tulioletewa endapo utafanya ulinganifu.

Kwa nafasi ya DJ kuna mtu kama ziyach,neres na sane asiyetulia pale city ambao wana uzoefu na mikiki ya cl na ligi kubwa barani ulaya.

Kwa upande wa Maguire (naamini atakuwa wetu ndani ya siku 2 hizi),kuna wachezaji kama varane na koulibaly. Bila kupepesa maneno,chaguo sahihi alikuwa koulibaly kama kigezo ni uwezo,kwa Maguire tunacheza kamari zaidi kuliko kuwa na uhakika wa performance yake. Unyumbani unatuua united.

Wan bisaka sitaki kusema sana muda utatuambia vizuri zaidi. Kama kweli tunamtaka longstaff kwenye nafasi ya kiungo wakati tumemuacha tielimani aende Leicester inatia shaka kidogo.
Sitaki kuisingizia scouting team yetu kuwa imelala ila naweza kusema inafanya kulingana na maelekezo toka juu. Lengo likiwa biashara zaidi ya ubora uwanjani. Katika mazingira kama Haya,Dof atafanyaje kazi yake kwa ufanisi?
Ngoja nicheki afcon na wanangu wa super eagles hapa kwanza kupunguza machungu.
 
wazungu pamoja na jamii ya wachina tambi wametutengenezea vifaa na dawa nyingi sana ambazo zinatusaidia kwa kiasi kikubwa sana kwenye shughuli zetu za kila siku za kimaisha lakini kuna kifaa kimoja muhimu sana wameshindwa kututengenezea mpaka muda huu.

tunahitaji kifaa au dawa itakayomuwezesha kiumbe hai kurudisha umri wake nyuma.
huyu koulibally hata kama utamnunua kwa paundi millioni 500 bado hujadhulumiwa hela yako, kikubwa unachopaswa kukifanya ni kutafuta kifaa kitakachokuwa kinamrudisha umri wake nyuma kila baada ya miaka 5.​
 
Kusema kweli usajili wetu unafuata uelekeo unaokera sana. Hadi sasa tumesajili wachezaji 3 na wote wana asili ya UK. Sawa inawezekana ole kaangalia uwezo na ari sikatai ila kwenye soko hili kuna wachezaji wana uwezo na ari kubwa kuliko hawa tulioletewa endapo utafanya ulinganifu.

Kwa nafasi ya DJ kuna mtu kama ziyach,neres na sane asiyetulia pale city ambao wana uzoefu na mikiki ya cl na ligi kubwa barani ulaya.

Kwa upande wa Maguire (naamini atakuwa wetu ndani ya siku 2 hizi),kuna wachezaji kama varane na koulibaly. Bila kupepesa maneno,chaguo sahihi alikuwa koulibaly kama kigezo ni uwezo,kwa Maguire tunacheza kamari zaidi kuliko kuwa na uhakika wa performance yake. Unyumbani unatuua united.

Wan bisaka sitaki kusema sana muda utatuambia vizuri zaidi. Kama kweli tunamtaka longstaff kwenye nafasi ya kiungo wakati tumemuacha tielimani aende Leicester inatia shaka kidogo.
Sitaki kuisingizia scouting team yetu kuwa imelala ila naweza kusema inafanya kulingana na maelekezo toka juu. Lengo likiwa biashara zaidi ya ubora uwanjani. Katika mazingira kama Haya,Dof atafanyaje kazi yake kwa ufanisi?
Ngoja nicheki afcon na wanangu wa super eagles hapa kwanza kupunguza machungu.
Longstaff na Tielsman wanacheza namba tofauti, hakuna uhusiano.

Sane hawezi kuja Man u labda awe free agent.
 
Mashabiki wa united bhana..... Baada ya game ya jana watu wameanza kusema kuwa tunahitaji CB hapo leo habari zinasema tunaenda kumsajili Maguire bado watu wanataka tumsajili Varane.......

Ngoja tumpeni uhuru solskjaer tuone anataka kufanya nini na kikosi.....
 
Do United realise they could probably get any CB in the world apart from VVD, Varane and Koulibaly for £80m, and they’ve gone for Maguire? Baffling
Acha ujinga..

1.Koulibally napoli walikuwa wanataka zaidi ya £100 kumuachia..na ana miaka 28 kama sijakosea(yupo ukingoni)

2.Varane mwenyewe alisema hataki kuondoka madrid na zidane alisema hamuuzi..je unajua ana-release clause ya pesa ngap ili UTD tumchukuei!? Guess what..ni zaidi ya £80 tunazolipa kwa maguire..

...so chill and be humble..
 
Ukitaka kujua kuwa real Madrid wanaroho mbaya kaulizie bei ya Rafael Varane.

Ukitaka kujua kuwa Liverpool wanaroho mbaya kaulizie bei ya VVD.
 
Mashabiki wa united bhana..... Baada ya game ya jana watu wameanza kusema kuwa tunahitaji CB hapo leo habari zinasema tunaenda kumsajili Maguire bado watu wanataka tumsajili Varane.......

Ngoja tumpeni uhuru solskjaer tuone anataka kufanya nini na kikosi.....
Ninachokiona hapa kila shabiki ana mchezaji wake anayetaka asajiliwe sasa hii sijui itawezekanaje
 
Jamani kazi ya washabiki ni kushangilia kama mshabiki nguli wa chelsea nasema hivi hiyo 80 M sterling haijatoka mfukoni mwangu hainiumi kabisa na washabiki wengine msiumie maana haijatoka mfukoni mwenu.Ngoja nijenge nchi kwanza tutakutana EPL ikianza
 
Back
Top Bottom