M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,692
- 117,105
ndio maana sipendi asajiliwe manchester united, dogo bado anacheza mpira wa karne ya 20 na anahitajika mwalimu wa ukweli kumbadilisha.Dogo ana stats nzuri sana defensively
Lakini sio mzuri offensively, na fullbacks wa kileo lazima pia wawe wana contribute going forward
kwa fikra zangu nadhani klabu ingelituma ofa ya 30 millioni pound kwa kieran trippier mwenye umri wa miaka 27, trippier atakapochoka diogo dalot atakuwa na wastani wa miaka 23.