Mkuu tukubali tu timu yetu kwa sasa haina mafundi wa kujenga vzr hawa young player kuwa wazuri zaidi huko mbele kama enzi za nyuma.
Unapomkataa BISSAKA wakati unataka kujenga timu upya unamtaka nani?.. Carvajal? Tunaweza kumpata?... Unafikiri DALOT anashindikana kuwa mzuri baadae, au tulitaka apaform kuliko WALKER ndio tumkubali.
Bayern wamemchukua PAVARD lakin nakuapia akitua hata leo MAN U utamkataa utasema bora YOUNG.. Tatizo timu haijui kuwajenga wachezaji ,haina subira kama mashabiki wake tulivyo.. Liverpool kuna waingereza wanapaform vzr tu, Chelsea, City n.k . vp huku kwetu kuna nini?
Hata akija Maguire+Toby bila OLE na timu yake kujenga mfumo mzuri wa uchezaji watakuwa flop vibaya sana.