Dogo ana stats nzuri sana defensively

Lakini sio mzuri offensively, na fullbacks wa kileo lazima pia wawe wana contribute going forward
ndio maana sipendi asajiliwe manchester united, dogo bado anacheza mpira wa karne ya 20 na anahitajika mwalimu wa ukweli kumbadilisha.

kwa fikra zangu nadhani klabu ingelituma ofa ya 30 millioni pound kwa kieran trippier mwenye umri wa miaka 27, trippier atakapochoka diogo dalot atakuwa na wastani wa miaka 23.
 
Ni kweli, dogo ni old school full back

Lakini Trippier sijui kwanini simkubali, naona Trippier wa mwaka wa World Cup na huyu ni watu wawili tofauti. Mimi naona bora Meunier tukitaka beki mzuri, mwenye experience isitoshe huyu jamaa ni shabiki kindaki wa United. Lakini pia anauzwa £22m ambapo kwa beki mwenye miaka 27 ni bargain ya nzuri, hiyo itatuachia hela ya kuimarisha maeneo mengine

Naona Aarons Max wa Norwich (mchezaji bora wa Championship 2018/2019) ni best alternative kuliko Wan Bissaka
 
upo sahihi kieran trippier hakuwa kwenye ubora wake msimu huu ukilinganisha na kiwango alichokionyesha kwenye mashindano ya world cup.
ukizifuatilia hizi fununu za usajili dalili zinaonyesha wazi main target ni mchezaji anayetokea kwenye ardhi ya uingereza ndio maana nikamtaja trippier awe mbadala na si kwamba sitambui uwezo wa thomas mounir.

hiyo hela wanayotaka crystal palace ya paundi millioni 60 kwa wan bissaka inatosha kumnunua joao concelo kutoka juventus na chenji ikabaki lakini klabu haionyeshi nguvu kubwa ya kumuhitaji ukilinganisha na majirani zetu wa manchester city.
 
Hapo ndio ninachoka, eti Wan Bissaka anamzidi Concelo

Waingereza bana, ila kinachotajwa kuwapandisha thamani wachezaji wa EPL raia wa kiingereza ni uwezo wa kifedha wa timu hizo (hawana njaa) kutokana na wadhamini waliopo, hivyo hawana presha ya kuuza

Kingine ni Brexit, hii inatajwa kuja kuathiri sana siku za mbele soko la hawa watoto wa Malikia
 
Mechi ya ufunguzi. Hapa lazima mlazwe
Screenshot_20190613-110316~2.jpeg
 
Hapo ndio ninachoka, eti Wan Bissaka anamzidi Concelo

Waingereza bana, ila kinachotajwa kuwapandisha thamani wachezaji wa EPL raia wa kiingereza ni uwezo wa kifedha wa timu hizo (hawana njaa) kutokana na wadhamini waliopo, hivyo hawana presha ya kuuza

Kingine ni Brexit, hii inatajwa kuja kuathiri sana siku za mbele soko la hawa watoto wa Malikia
kwa fikra zangu dhaifu nadhani ishu ya mahitaji (demand) na uzalishaji (supply) inahusu zaidi kwa wachezaji wa kiingereza.
Ukiniambia ishu ni hofu ya baadae kuhusiana na mambo ya kisiasa (brexit) ndio yanazidi kupelekea wachezaji wa kiingereza kuwa ghali pia inawezekana ni sahihi lakini nitabaki na swali hili:
mbona miaka 20 iliopita khofu hii ya brexit haikuwa na nguvu kubwa sana lakini bado wachezaji wa kiingereza walikuwa ghali sana?
jaribu kurejea usajili wa rio ferdinand mwaka 2001 kwa paundi millioni 31.
jaribu kurejea usajili wa wayne rooney mwaka 2004 kwa paundi millioni 27
jaribu kurejea usajili wa alan shearer kwenda newcastle united mwaka 1996 kwa paundi millioni 15

ni mara chache sana kukuta waingereza wanazalisha wachezaji wenye vipaji kwenye mashamba yao ya uzalishaji wachezaji (academy) ndio maana ikitokezea kipaji kimezaliwa thamani yake inakuwa ni kubwa sana ukilinganisha na nchi nyenginezo.

halafu hii sheria ya kila timu lazima iwe na wachezaji takribani 8 wazawa wa uingereza ndio inazidi kuchochea wachezaji wa kiingereza kuwa ghali kwa sababu unakuta kila timu inawahitaji (demands) ndio maana timu zinakuwa na jeuri kwenye mauzo pindi wanapozalisha vipaji, kibaya zaidi ushabikie timu yenye kuendekeza ujinga huu wa kukumbatia watoto wa nyumbani utachukia kila unaposikia tetesi zao.
 
Dogo ana stats nzuri sana defensively

Lakini sio mzuri offensively, na fullbacks wa kileo lazima pia wawe wana contribute going forward
Kweli mkuu ila inategemea na mfumo, ukimuweka kulia ya mfumo wa beki 3 wa nyuma na dalot kama wingback kwa muono wangu anafit.

Halafu kuna vitu vinafundishika kuna vitu unazaliwa navyo, kupiga cross inafundishika kabisa mfano Mzuri ni Garry Neville kwenye career yake kila miaka ilivyokwenda ndio uwezo wa kupiga cross ulikuwa unaongezeka.
 
Nimeicopy sehemu fulani
Epl msimu uliopita
Most clearances:
• Wan-Bissaka (129)

Most tackles won:
• Wan-Bissaka (129)

Highest tackle success rate:
• Wan-Bissaka (94%)

Most take-ons completed:
• Wan-Bissaka (90)

Most interceptions:
• Wan-Bissaka (84)
Sijui kwa nini pamoja na hayo naona kama watoto Wa dizaini hii hawastahili kuchezea Man U. Tena ukizingatia ni muingereza duu
 
Back
Top Bottom