Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,456
- 872
Kwani tumezidiwa game approach ya Burnley imefanikiwa
Arsenal ndo wameuawa na refa pamoja na kushinda siyo nyie.Duh vijana wamejituma refa nae katuuwa
Haya mahaba kwa Rashford ipo siku yatamkosti OGSRashford leo game imemkataa kipindi cha kwanza ngoja tuone cha pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Penati mbili clear goli la pili offside kuna rafu imechezwa refa kapeta lakini ndio game mechi ya Arsenal sijaiangalia siwezi kuizungumzia
Ndio gambling ya kubadilisha hiyo ata angetolewa Rashford akaachwa Lukaku tungesema piaHaya mahaba kwa Rashford ipo siku yatamkosti OGS
Unamtoaje Lukaku unamuacha Rashford game kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio game basi tu ndio matokeo kuna kuchoka Kwa wachezaji
Kuna watu walitamani sana mpira uishe mbili bila,roho zimewauma kweli.
Ole amekosea sana kutokumuanzisha Lingard na Herrera,sijui kama atarudia tena!
Pereira anapenda sana kuchezea mpira na anajiamini ila nguvu hana na alicheza na mpira sehemu mbaya.
Ametuponza sana dogo,good to see Pereira given a chance nategemea makubwa kutoka kwake
Ndio game basi tu ndio matokeo kuna kuchoka Kwa wachezaji