Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wale twaruka priiiii🤣🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20240430_112202_Photos.jpg
    Screenshot_20240430_112202_Photos.jpg
    693.1 KB · Views: 11
Goli la kwanza kipa serious anadaka ile ilikuwa poor positioning ya kipa

Goli la pili alitakiwa kum close down maleta yeye kabaki kwenye mstari. Hakuna kipa pale

Kuna msimu United walikuwa na defense mbovu lakini wakabebwa na De gea Onana ameshindwa ku step up tafuteni kipa wa kueleweka
Mkuu hii game uliangalia kweli? Goal la pili unamlaumu Onana? Hukuona Evans alivopitwa pale na anajua kabaki yeye tu then kipa?

Goal la kwanza kapigwa sana Allison hizi goal za hivi mpaka mmetoka kwenye mbio za ubingwa, ile ni ufundi umetumika, goal zuri sana kipa yoyote anafungwa.

Kuna matatizo mengi sana Man U ila kufikia kwa Onana ni bado kidogo.
 
Leo mashabiki wenu watabaki nyumbani au watakuja uwanjani halafu sisi tuje tuwafukuze half time?
 
Ninyi pimbi ,leo kazeni tako mtoe draw Tu , inatosha kuwanyamazisha vinywa hawa mburukenge wa london Arsenyetoz.
Arsenyetoz wakibeba ndoo ya Epl tutateseka sana ,mtaani hakutakalika .
Ni fedheha na matusi Arsenyetoz kubeba ndoo ya Epl .
Na walivyo na kidomo domo
Msituangushe
 
Back
Top Bottom