Kuna watu walitamani sana mpira uishe mbili bila,roho zimewauma kweli.

Ole amekosea sana kutokumuanzisha Lingard na Herrera,sijui kama atarudia tena!

Pereira anapenda sana kuchezea mpira na anajiamini ila nguvu hana na alicheza na mpira sehemu mbaya.
Ndio game basi tu ndio matokeo kuna kuchoka Kwa wachezaji
 
Kipa wao nao kawa kama Degea
Screenshot_2019-01-30-01-03-45.png
 
Back
Top Bottom