Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hatuangalii tu lile kosa,ila yeye na Mc tominay wanazidiana nini??

Ukiwa kiungo inabidi uwe mbunifu kidogo,hutakiwi ucheze vitu basic tu dakika zote 90..

Perreira lacks some midfield quality



Sent using Jamii Forums mobile app
maybe, ila kwa game ya leo sijaona tatizo la Perreira au pengo la Herrera kama nafasi zilitengenezwa kutosha ni umakini tu ndo uliyotukosesha points na ubora wa kipa wa upinzani

shots on goal 20+...2 goals
 
Hapana mkuu

Game ilishamkataa dogo Rashford, isitoshe kwenye kufunga Lukaku ni clinical kuliko Rashford, hili hata OGS alikiri kwamba kwenye mazoezi Lukaku ndio huwa anaongoza kufunga kila siku

Halafu Rashford ni mzuri kwenye mechi tunazocheza counter attack, zile big match lakini hii leo tulikuwa tunacheza kawaida kwa kuwa tunawamiliki, hivyo Rashford hakuwa na umuhimu kwenye hii game

Lakini OGS ana mahaba makubwa mno na huyu dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu leo rashford hakuwa vizuri ndio imechangia kiasi kikubwa mbele kuwa butu amepata clear chances mbili lakn ameshindwa kuzi convert kuwa magoli but all in all spirit ya team imekuwa nzuri now everything is possible midfield yetu pendwa tuombe isipate injuries tu tutamaliza vizuri msimu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damn... That was so close, haters wamechukia eti tumerudisha goli mbili ndani ya dakika 4. That shit wasn't easy, kamuulizeni City huko kachomolewa na kaongezwa licha kuwahi kupata goli dakika ya kwanza tu.
GGMU..GGMU..
Lakini Ole acha masihara mimi nisipomuona Herrera pale kati roho yangu huwa haitulii kabisa hata kama tutacheza vizuri.
 
Lukaku ametoa pasi iliyomfanya Rashford abaki na kipa lakini akashindwa kuitumia (kipindi cha kwanza)

Nafasi alizozipata Rashford, Lukaku asingezichezea

Mwishoni tulitegemea mipira ya krosi ili tupate goli, Lukaku ni tishio mipira ya hewani kuliko huyo mpemba

Kiufupi Lukaku alikuwa hatari dhidi ya Burnley kuliko Rashford

Sent using Jamii Forums mobile app
tumemshuhudia mara ngapi Lukaku akipoteza nafasi za wazi wazi ktk game mbalimbali hiyo assurance unapata wapi mkuu.

kwa game ya leo sina lawama kwa kocha wala mchezaji yeyote...kama kuongoza kila kitu tumeongoza sisi isipokuwa magoli ubora wa kipa wa Burnley ndio uliyotunyima ushindi

Mata, Rashford, Lukaku na Pogba hawa wote walinyimwa magoli na kipa wa upinzani

GGMU
 
watu wanamface moja kwa moja Pereira siwapingi ila hawaangalii nani aliyepiga pasi kwenda kwa Pereira na Pereira alikuwa kwenye mazingira gani ya kupigiwa pasi...mwisho niseme bahati haikuwa yetu kwa leo
Phil Jones alifanya mistake kumpa pasi Perreira na Perreira alifanya mistake kuchezea mpira kwenye eneo la hatari
 
Kwa mfumo wetu wa attacking nimeona mambo yafuatyo: ander herreira ni muhim sana na pia ni engine ya timu kwani anaweza interception ya mpira na pia ni anasaidia sana ktk mfumo wa diamond kwa wa viungo akilink na matic, young na pogba. Hata hawa akina pogba wanajiposition vzr na pia kunakuwa na interchange.
Mwingine Anthony martial huyu ni muhim na anajua kujiposition ktk kufunga na hata dead balls ni hodar nazo. Na ni fundi wa kuwachosha hawa mabeki kias cha kwamba akina pogba na rashford wanajiweka vzr
Bwana lukaku bolingoli ameanza kutulia na kujielewa Nimeiona assist zake na juhudi zake.
La mwisho ole aache majaribio sababu hakuna haja ya hayo aweke full mkiki match hii ilikuwa yetu kbsa ttz Burnley walitumia advantage ya mapungufu yetu. Naamini ole atajirekebisha na hili litapelekea atetee kibarau chake akitaka majaribio ya rotation kama mou basi ajue pottechino anakwaa nafasi
Nadhan rotation haiepukiki mkuu maana midfield zetu kiukwel kama zitacheza kila game izo ata game nyepes baas game kubwa itakuja kuwa shida sana maana hatuna squad depth tuombe injuries ziwe mbaali na key players wetu tu otherwise rotation ni muhim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu lukaku sikuona kama amecheza vibaya..vitu vingine naona kocha ndo anajua mwenyewe..ila personally nisingemtoa lukaku.

Perreira bado wakuu,tukubaliane tu,atafutiwe timu yenye pressure ndogo apelekwe,hapa united tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu..

Ndo mpira wenyewe huu..GGMU





Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda huu ukawa msimu wake wa mwisho kuchezea United
 
Makosa ndo yanafanya team ku improve , kuna cha kujifunza kwenye game na Burnley. Mpira unamatokeo ma3 ,mnapopanga kushinda hata washindani wenu nao wanawaza kushinda vile vile ,point moja si haba kuliko tunge lose kabisa tena OT.
Fans tujifunze kukubaliana na matokeo yote ya soka especially ka team ipo kwenye standard.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani EPL ngumu sana,jana kidogo mambo yaliyumba OT LKN point moja is worth,msikate tamaa endeleeni kumuunga mkono kocha Ole!
Nani sasa hapa anaweza ongea kabisa kama hayaogopi majogoo ya Anfield?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wote tulikuwa tunajua kuwa kuna mechi tutapoteza na hilo ni jambo la kawaida sana tu. Sema kwa sababu tulidorora kwa muda mrefu, tunatamani tupate matokeo kila mechi. Mechi hii tumeumia lakini hatuna haja ya kmlaumu kocha au mchezaji bali ni uchambuzi km kawaida ya mashabiki wa soka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya Ole kushinda mfululizo watu wanatamani ashinde tu , Wamesahau mpira hauko hivyo. Binafsi nampongeza Ole pia kuwapa nafasi Vijana kikubwa wajifunze kupitia mistake
 
tumemshuhudia mara ngapi Lukaku akipoteza nafasi za wazi wazi ktk game mbalimbali hiyo assurance unapata wapi mkuu.

kwa game ya leo sina lawama kwa kocha wala mchezaji yeyote...kama kuongoza kila kitu tumeongoza sisi isipokuwa magoli ubora wa kipa wa Burnley ndio uliyotunyima ushindi

Mata, Rashford, Lukaku na Pogba hawa wote walinyimwa magoli na kipa wa upinzani

GGMU
Mkuu sijasema Lukaku huwa hapotezi nafasi za magoli, huwa anakosa. CR 7, Messi wenyewe sometime huwa wanakosa magoli. Swali ni kwamba je kama striker unatumia nafasi za magoli nyingi kadiri inavyowezekana?

Lukaku ameonesha uwezo wa kufunga magoli akiwa timu ya Taifa, akiwa Everton, akiwa Westbrom na akiwa United. Lukaku amekuwa akitoa assist nyingi tu (kiufupi si selfish player)

Rash sio clinical finisher. Strength kubwa ya Rash ni kasi (msingi mbio). Ana uwezo wa kufunga lakini usitegemee Rashford akupe 20+ goals a season. Kama unataka uchukue premier usimtegemee Rash as a number one striker. Rash ni mbinafsi kiaina. Unaweza kumtegemea Lukaku.

Hapo nimeongelea overall ability ya hao wawili.

Ukiangalia mechi ya jana pia Lukaku amejihusisha kwenye matukio muhimu na amesumbua defense line ya Burnley zaidi. Unaweza kumponda kwamba ni mzito, unaweza mponda kwamba hana kasi ya Rash lakini jambo moja la uhakika, Lukaku aliwa - bully Burnley defenders zaidi. Na uwepo wake mpaka dakika 90 ungeweza kuwa na tija kuliko uwepo wa Rash.

Hapo chini ni observation ya OGS kuhusu uwezo wa Lukaku kufunga magoli katika mazoezi
Screenshot_2019-01-30-08-28-02.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom