Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio gambling ya kubadilisha hiyo ata angetolewa Rashford akaachwa Lukaku tungesema pia
Hapana mkuu

Game ilishamkataa dogo Rashford, isitoshe kwenye kufunga Lukaku ni clinical kuliko Rashford, hili hata OGS alikiri kwamba kwenye mazoezi Lukaku ndio huwa anaongoza kufunga kila siku

Halafu Rashford ni mzuri kwenye mechi tunazocheza counter attack, zile big match lakini hii leo tulikuwa tunacheza kawaida kwa kuwa tunawamiliki, hivyo Rashford hakuwa na umuhimu kwenye hii game

Lakini OGS ana mahaba makubwa mno na huyu dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakin pia hakukuwa na umuhimu wa kumuingiza Sanchez kwenye gem hii ilitakiwa sub ya pereira tu leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu

Game ilishamkataa dogo Rashford, isitoshe kwenye kufunga Lukaku ni clinical kuliko Rashford, hili hata OGS alikiri kwamba kwenye mazoezi Lukaku ndio huwa anaongoza kufunga kila siku

Halafu Rashford ni mzuri kwenye mechi tunazocheza counter attack, zile big match lakini hii leo tulikuwa tunacheza kawaida kwa kuwa tunawamiliki, hivyo Rashford hakuwa na umuhimu kwenye hii game

Lakini OGS ana mahaba makubwa mno na huyu dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku alikuwepo uwanja kwa dk 60+ kuna maajabu gani aliyofanya?? tukubali tu kwamba leo bahati haikuwa upande wetu that's all
 
Haya mahaba kwa Rashford ipo siku yatamkosti OGS

Unamtoaje Lukaku unamuacha Rashford game kama hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu lukaku sikuona kama amecheza vibaya..vitu vingine naona kocha ndo anajua mwenyewe..ila personally nisingemtoa lukaku.

Perreira bado wakuu,tukubaliane tu,atafutiwe timu yenye pressure ndogo apelekwe,hapa united tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu..

Ndo mpira wenyewe huu..GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lukaku alikuwepo uwanja kwa dk 60+ kuna maajabu gani aliyofanya?? tukubali tu kwamba leo bahati haikuwa upande wetu that's all
Lukaku ametoa pasi iliyomfanya Rashford abaki na kipa lakini akashindwa kuitumia (kipindi cha kwanza)

Nafasi alizozipata Rashford, Lukaku asingezichezea

Mwishoni tulitegemea mipira ya krosi ili tupate goli, Lukaku ni tishio mipira ya hewani kuliko huyo mpemba

Kiufupi Lukaku alikuwa hatari dhidi ya Burnley kuliko Rashford

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wanamface moja kwa moja Pereira siwapingi ila hawaangalii nani aliyepiga pasi kwenda kwa Pereira na Pereira alikuwa kwenye mazingira gani ya kupigiwa pasi...mwisho niseme bahati haikuwa yetu kwa leo
Hatuangalii tu lile kosa,ila yeye na Mc tominay wanazidiana nini??

Ukiwa kiungo inabidi uwe mbunifu kidogo,hutakiwi ucheze vitu basic tu dakika zote 90..

Perreira lacks some midfield quality

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfumo wetu wa attacking nimeona mambo yafuatyo: ander herreira ni muhim sana na pia ni engine ya timu kwani anaweza interception ya mpira na pia ni anasaidia sana ktk mfumo wa diamond kwa wa viungo akilink na matic, young na pogba. Hata hawa akina pogba wanajiposition vzr na pia kunakuwa na interchange.
Mwingine Anthony martial huyu ni muhim na anajua kujiposition ktk kufunga na hata dead balls ni hodar nazo. Na ni fundi wa kuwachosha hawa mabeki kias cha kwamba akina pogba na rashford wanajiweka vzr
Bwana lukaku bolingoli ameanza kutulia na kujielewa Nimeiona assist zake na juhudi zake.
La mwisho ole aache majaribio sababu hakuna haja ya hayo aweke full mkiki match hii ilikuwa yetu kbsa ttz Burnley walitumia advantage ya mapungufu yetu. Naamini ole atajirekebisha na hili litapelekea atetee kibarau chake akitaka majaribio ya rotation kama mou basi ajue pottechino anakwaa nafasi
 
Vitu vingine ni rahisi tu kueleweka ila sijui ni kwa nini watu hawaelewi..tulivyokuwa one nill down,uwepo wa lukaku ulikuwa ni hatari kuliko uwepo wa rashford kwa kuangalia tu jinsi timu ilivyokuwa inacheza tokea mwanzo

Tupambane sasa next game ya Leicester away..

Back
Top Bottom