Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Mkuu pole, Ole mwenyewe anaamini anahitaji kusajili zaidi ili kupata matokeo bora.Tuliohoji inakuwaje tupo kwenye nusu fainali tatu na tukashindwa kufuzu fainali hata moja last season mlituona wajinga..
Now tell us ni kwa namna gani tumeshindwa kusonga mbele kwenye hili kundi?..
Ole anabahatisha na hili lipo wazi..uwezo wake ku-manage game nzito upo chini sana,leave aside tactical awereness yake..no style of play,,tunajichezea tu tukitegemea lolote litatokea..
What did he still need to make us play some decent football?
Nimechukia sana leo mama.e
UCL wanaangalia HTH siyo goal differenceSasa tim tatu zikifungana kwani wanaangalia HTH???Wanaangalia goal difference bwashee meaning Manjezta watapita
Acha kukimbia rangi yako. You are black. Labda unambie wewe una rangi ya zambarau ama njanoKwanza Hakuna mtu mweupe wala mweusi.
angalia karatasi jeupe halafu jiulize kuna mtu wa rangi hiyo?
Angalia mkaa halafu jiulize kuna mtu wa rangi hiyo?
"Europa level yetu" hahahahaKocha mpumbavu huyu vdb ana nidhamu ya mchezo yn ni heri kale katoto kake trashford kasikopandisha kiwango angekapiga benchi af don acheze 11 dogo Greenwood acheze kati kule kulia acheze bruno awe anaingia ndani.
Na hakukuwa na haja ya kuwaanzisha viungo wakabaji wawili, mmoja angesubiri ili mmoja (mctomy) acheze na pogba mbn mechi ilikuwa nyeupe ilee.
Btw ata tungeshinda tungetoka tu bora twende Europa level yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mada ifungwe tafadhaliBLACK LIVES MATTER ndio utofauti unapoanzia hapo
Black is Black
White is White
Kwanini slogani haikusema ALL LIVES MATTER .
DuhPsg hata akifungwa man u inatoka kwao mlishinda 2-1 kwenu wakawapiga 3–1 head to head yuko na advantage
Ushawahi ona Mwingereza anamsifia Mfaransa?Jamie Carragher on Pogba
" He's the most overrated player i've seen in my life "
Wakuu Carragher uko Skysport kamaliza kaziView attachment 1644434
Hizo takwimu zako ndo zinafanya United iendelee kutolewa kwenye mashindano.mpaka kipindi cha kwanza kinaisha wote tuna attempts 5
1. greeenwood rashford yupo mwenyewe ampasie tu afunge kapiga mwenyewe kakosa
2. rashford greenwood yupo mwenyewe na yeye badala ya kutoa pasi akaleta tamaa akakosa
3. rashford na speed zote katanguliziwa mpira kauacha nyuma.
tofauti yetu na wao ni hilo, hizo chance zetu wangepata wao pengine tungekuwa tumefungwa 3-2
Kwasababu kocha wanae.Mnamlaumu ole bure tu hawa jamaa niliangalia game yao na munich juzi..walitoka 3-3 utadhani ndio ilikua fainaali ya uefa....wanaupiga sana hao madogoo






Tumbo joto mida hii..
Tutakuwa na meltdown mida ya saa saba humu tukiondolewa UEFA..
Ole na wachezaji tuondoleeni hizi tabu
GGMU






mkuu jana itakuwa uliendesha sana (uliharisha)Subiri Mkwawa aje na takwimu zake za hovyo.Rio Ferdinand: “In the past Ole set us up to play five at the back with a lot of attackers (like against PSG), tonight we set up with five when they only had one up top, it was a waste of a centre half. It should’ve changed, Ole didn’t do it and the subs were too late” [BT]
waliosomea uchambuzi na wanaojua mpira wanaonekana kbs hawakubaliani na mbinu za ole.Sasa wabongo tutakuja kutetea ujinga hapa..Fukuza huyu kocha!!!














