Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Eti wanasema ubaguzi, kisa mwenye ngozi nyeusi kaitwa mtu mweusi. Baadhi ya Waafrika ni wapumbavu sana sasa ww una gozi nyeusi ukiitwa mtu mweusi unachukia na kusema ni ubaguzi. Pumbavu kabisa

Sasa unataka uitwe mtu mweupe wakati ww ni mweusi, hii kampeni yao naona kuna kitu inatafuta kutoka kwetu Waafrika.
na wakati sisi tunawaita whites?wazungu na hawakasiriki
 
Unamweka benchi vdb unachezesha left backs wawili hehehehee wallahi km kuna man u mwenzangu humu bado anaamini ktk Ole basi huyo anaweza kuishi hata baharini

Sent using Jamii Forums mobile app
Greenwood, Rashford, Martial, Lingard, James

Pogba, VDB, Bruno, Matic, Mctommnay, Matic, Mata,

Lindeleof, AWB, Magwaya, Shaw, Fossu, William, Telles, Tuanzabe, Shaw, Baily

DeGea

Tevez, Smith, Persie, Rooney, Chicharito, Owen, Larson, Chadwick, Andy, Dwight

Carrick, Scholes, Fletcher, Keane, Forlan, Anderson, Fortune, Giggs, Keane, Valencia, OGS, Teddy, Hargreaves, CR7, Nani

Rio, Evra, Brown, Jones, Smalling, Vidic, Pique, Rossi

DeGea, Edwin, Foster, Bartez, Schmeichel

Ngoja tuone kama tunapoteza asili au la.
 
Matic useless

Mctominay useless

Rashford+Greenwood=Selfishness

Ole+Technical bench=Below average

9points na hatufuzu last sixte
eens..

Fu.ck
 
Tukimfunga PSG leo itakuwa salamu kwa wenzetu kwamba Wasituchukulie poa.....Kama ndoto hivi ila kwa mbaaaaaaaaaaali, yaaan ileee mbaaali, kuna sauti za makelele ya shangwe na fujo za wanajukwaa baada ya ushindi wa Man United dhidi ya Bayern Munchen final msimu huu....The second coming of 1999

Msinipige Mawe

Leo tunawapa pole.

Ajuaye bwana Mungu kwa mgonjwa kuwa mfu mzima kuwa salama leo tunawapa pole.

Hii ilikuwa ndoto nzuri, poleni watani.
 
Tuliohoji inakuwaje tupo kwenye nusu fainali tatu na tukashindwa kufuzu fainali hata moja last season mlituona wajinga..

Now tell us ni kwa namna gani tumeshindwa kusonga mbele kwenye hili kundi?..

Ole anabahatisha na hili lipo wazi..uwezo wake ku-manage game nzito upo chini sana,leave aside tactical awereness yake..no style of play,,tunajichezea tu tukitegemea lolote litatokea..

What did he still need to make us play some decent football?

Nimechukia sana leo mama.e
 
Pole sana mkuu mimi pia usingizi unagoma kabisa hapa..
 
Ole angecheza ile 352 yake anayochezaga na game kubwa za EPL angeweza pata draw akapenya, angeweka nyuma luke shaw maguire na lindelof alafu kati akaweka telles mactominay pogba/bruno matic na bissaka mbele apige rashford na greenwood asingepoteza game
 
Eti wanasema ubaguzi, kisa mwenye ngozi nyeusi kaitwa mtu mweusi. Baadhi ya Waafrika ni wapumbavu sana sasa ww una gozi nyeusi ukiitwa mtu mweusi unachukia na kusema ni ubaguzi. Pumbavu kabisa

Sasa unataka uitwe mtu mweupe wakati ww ni mweusi, hii kampeni yao naona kuna kitu inatafuta kutoka kwetu Waafrika.
Hujawahi kusikia mtu kaitwa "fala" anafurahi na mtu kaitwa "fala" anaanzisha ugomvi? Kuitwa mweusi sio tusi ila inategemea umeitwa vipi na kwenye mazingira yapi.

Unafikiri una akili kuwazidi hao wachezaji wote 22 na benchi la ufundi walioamua kutoka nje?!
 
Tumalize kwa kusema Ole Masai uwezo wake wa kufundisha soka ni mdoogoo sana.
 
Back
Top Bottom