Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sorry,James is useless

Em panga hicho kikosi...
Kwa timu yoyote inayofunguka james sio mbaya.

Kwa diamond

----henderson---
Awb, lindelof, maguire, shaw/telles
- - - - matic----------
Mc tominay pogba/VDB
Fernandez
Greenwood/james Rashford
 
Jamie Carragher on Pogba

" He's the most overrated player i've seen in my life "

Wakuu Carragher uko Skysport kamaliza kazi
Screenshot_20201208-101330.jpeg
 
★Kwa upande wangu sijaona ugumu sana kwenye kuchuku kombe msimu huu wa 20/21 yani cha umaana hapo :-

Chakwanza utayali wa wachezaji wetu kujua wanapigania nini!

Chapili Kocha kubuni mbinu mbadala endapo mbinu ya kwanza ikishindwa ili itumike kama BACKUP PLAN.
Pia tuombee kusiwe na Majeraha ya muda mrefu kwa wachezaji wetu haswa wanaojituma katika timu kwisha habari.
Ila Bwana OLE aache makosa yanayoweza kuepukika kiurahisi tunajua anamipango mizuri na timu ila tumakosa twa hapa na pale ambato ukiacha kukurupuka na ukawaza vizuri najua vitazaa matunda.★

#GGMU
Ligi ndiyo kwanza tuko round ya kumi umejuaje hatutabeba kombe lolote ?
 
★Huyu TRIPIER alokuwa Spurs???★
Solskjaer is looking to bolster his right back options and #mufc are ‘monitoring’ Atletico Madrid’s Kieran Trippier. [Telegraph]

The best option ever
 
★Nimeona sehemu na alokuwa Kocha wa Juventus akamwachia Sari nae anaielewa Man U vP huyu??★
wengi tunalalamika ya kwamba man utd hatuna mfumo halisi wa kiuchezaji (filosofi) chini ya ole ukilinganisha na timu nyenginezo kama liverpool, man city, barcelona, bayern munich, kwa mfano leo hii liverpool hata kama watachezesha kikosi cha pili basi system ya uchezaji inabaki kuwa ni ile ile pasina kuangalia matokeo tofauti na sisi, hapa tumejificha kwenye kivuli cha kwamba ole anabebwa na performance za wachezaji.

majira fulani alikuwepo van gaal, alikuja na filosofi nzuri sana ya kiuchezaji jambo lililopelekea kila mshabiki awe na ufahamu wa style rasmi tunayocheza kabla ya hata mechi kuanza(haijalishi mchezaji fulani ni mzima au majeruhi) lakini mzee alishindwa kuigeuza system hiyo kwenda njia bora (tulikuwa tunashindwa kufunga magoli ) na hatimaye akapingwa na mashabiki, huyu tuseme aliangushwa na system yake ndio maana akaletwa mourinho asiyekuwa na system ya kuvutia ila matokeo mazuri anayapata

ukiangalia huu mchakato wetu tulioupitia baada ya fergie unagundua ya kwamba timu yetu haikuwa na mkakati maalumu wa kuishi baada ya fergie

ukiniuliza ni kocha gani bora sitokuwa na jibu sahihi, ila ukiniuliza mwalimu yupi mwenye falsafa rasmi ya ufundishaji ukiondoa hao wenye timu zao basi nitawataja hawa bila ya kuhoji matokeo
  1. Ralph Hasenhüttl = southampton
  2. Julian Nagelsmann = leipzig
  3. bielsa = leeds united (huyu ni mgumu sana, wachezaji watahitaji wajitoe sana ili waweze kuadapt soka lake)
  4. makocha wanaofundisha bundesliga
mashabiki wengi nikiwemo mimi hatuna msimamo rasmi wa tunachokihitaji.
 
I'd sell Pogba for £50m and reinvest in Grealish.

Bruno just showed that all the excuses people gave for Pogba since he got here are pure BS.

Not playing him in the right position.
Not playing on the left.
Playing him in a two men midfield.
Playing him in a three men midfield.
Not having the right managers for him.
Surrounding him with sub-par players.
Jose not treating him like the world cup winner he is.
Paying Alexis more than him.
...

Bruno came, in 11 months did what Pogba failed to do in his 4 years here.

Pogba is paid 3 times what Bruno is. Let that sink in.
 
I'd sell Pogba for £50m and reinvest in Grealish.

Bruno just showed that all the excuses people gave for Pogba since he got here are pure BS.

Not playing him in the right position.
Not playing on the left.
Playing him in a two men midfield.
Playing him in a three men midfield.
Not having the right managers for him.
Surrounding him with sub-par players.
Jose not treating him like the world cup winner he is.
Paying Alexis more than him.
...

Bruno came, in 11 months did what Pogba failed to do in his 4 years here.

Pogba is paid 3 times what Bruno is. Let that sink in.

EXACTLY!
Mchezaji hawezi kuwa mkubwa kuliko club.SELL HIM!
 
★HABARI NJEMA

Manchester United outcast Jesse Lingard is in talks with Real Sociedad over a loan move - according to Sky Sports.

The Red Devil are ready to sanction the 27-year-old's temporary departure in January, with the Spanish outfit one of several clubs to have been contacted by the midfielder's representatives.

Lingard has yet to feature for United in the Premier League this season, and his current contract is due to expire next summer.★

#GGMU

manutd |
IMG_20201208_191553_410.jpeg
 
★Hii ni madharu Level ya 9999999o9

Time for Manchester United to get nasty

manutd |
IMG_20201208_191207_308.jpeg
 
★Fabrizio Romano: United and Paul Pogba never found an agreement on a long-term contract after the activation of the clause to extend his contract until 2022..★

#GGMU

manutd |
 
★Nagelsmann on his sides 5-0 defeat at Old Trafford: “We were better in the game but a little bit too afraid at the start. We can add a lot and improve, especially in the last third. United defended well. We can’t say they played well, but they defended very well.”.★

#GGMU

manutd |
 
I'd sell Pogba for £50m and reinvest in Grealish.

Bruno just showed that all the excuses people gave for Pogba since he got here are pure BS.

Not playing him in the right position.
Not playing on the left.
Playing him in a two men midfield.
Playing him in a three men midfield.
Not having the right managers for him.
Surrounding him with sub-par players.
Jose not treating him like the world cup winner he is.
Paying Alexis more than him.
...

Bruno came, in 11 months did what Pogba failed to do in his 4 years here.

Pogba is paid 3 times what Bruno is. Let that sink in.
Kama pogba anaondoka kwa muono wangu
1. Kama Vdb ana adapt role ya Double pivot tunahitaji Cdm aka matic replacement

2. Kama Vdb anafeli tunahitaji Deep lying playmaker mtu design ya Alonso.

Timu yetu sasa hivi imebaki tu Right winger na kiungo mkabaji kuwa kikosi cha kwanza kilichokamilika.
 
Back
Top Bottom