Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
Anaongea ujinga huyu.Hujawahi kusikia mtu kaitwa "fala" anafurahi na mtu kaitwa "fala" anaanzisha ugomvi? Kuitwa mweusi sio tusi ila inategemea umeitwa vipi na kwenye mazingira yapi.
Anaongea ujinga huyu.Hujawahi kusikia mtu kaitwa "fala" anafurahi na mtu kaitwa "fala" anaanzisha ugomvi? Kuitwa mweusi sio tusi ila inategemea umeitwa vipi na kwenye mazingira yapi.
Mkuu rudi kwa ras simba kwanza..BREAKING NEWS
Manchester United match against RB Leipzig as been officially cancelled later hour following a Racist statement made by ànother referee again,
Statement which he said
"SEE YOU SOON IN EUROPA LEAGUE "

Kusahau hiyo "h" hapo kwenye "as" ndio umejiona mjanja hahahahahahahahahMkuu rudi kwa ras simba kwanza..
Wht a shit English is tht..
Sio as been
Ni has been..
Hivi huoni kama as na has ni maana mbili tofauti?Kusahau hiyo "h" hapo kwenye "as" ndio umejiona mjanja hahahahahahahahah.
Ukale maisha? Ngoja ukutane na the special one kule ule mi6 tenaMe nangojea rekodi tu waje kutupa wakuu
Ila twende Europa tu tukale Maisha
Wakuu na leo sijaona mechi....Mainjinia Ngapi ukoooooo?jana sijaona mechi...ngapi ukoo?
Kwanza Hakuna mtu mweupe wala mweusi.Eti wanasema ubaguzi, kisa mwenye ngozi nyeusi kaitwa mtu mweusi. Baadhi ya Waafrika ni wapumbavu sana sasa ww una gozi nyeusi ukiitwa mtu mweusi unachukia na kusema ni ubaguzi. Pumbavu kabisa
Sasa unataka uitwe mtu mweupe wakati ww ni mweusi, hii kampeni yao naona kuna kitu inatafuta kutoka kwetu Waafrika.
The difference between A White Guy and and a Black Guy a White Guy wouldn't get offended by calling him a White Guy .Eti wanasema ubaguzi, kisa mwenye ngozi nyeusi kaitwa mtu mweusi. Baadhi ya Waafrika ni wapumbavu sana sasa ww una gozi nyeusi ukiitwa mtu mweusi unachukia na kusema ni ubaguzi. Pumbavu kabisa
Sasa unataka uitwe mtu mweupe wakati ww ni mweusi, hii kampeni yao naona kuna kitu inatafuta kutoka kwetu Waafrika.
Sasa tim tatu zikifungana kwani wanaangalia HTH???Wanaangalia goal difference bwashee meaning Manjezta watapitaPsg hata akifungwa man u inatoka kwao mlishinda 2-1 kwenu wakawapiga 3–1 head to head yuko na advantage
Hakuna mtu mweupe wala mweusi???Kwanza Hakuna mtu mweupe wala mweusi.
angalia karatasi jeupe halafu jiulize kuna mtu wa rangi hiyo?
Angalia mkaa halafu jiulize kuna mtu wa rangi hiyo?
Wew kwani ushawahi kumuona mtu mweupe labda? yani kama chaki.Hakuna mtu mweupe wala mweusi???
BUT BLACK LIVES MATTER IS OK ????
BLACK LIVES MATTER ndio utofauti unapoanzia hapoWew kwani ushawahi kumuona mtu mweupe labda? yani kama chaki.
black lives matter ni slogan tu Sawa na kusema "Everybody dies" wakati Ocean is a body of water and does not die
Tulale kwanza...au wewe mlinzi?BLACK LIVES MATTER ndio utofauti unapoanzia hapo
Black is Black
White is White
Kwanini slogani haikusema ALL LIVES MATTER .