Tushafuzu hatuna shidawanarukzrika tu
.wataishia hii droo
Bob Chelsea ya sasa inajituma kuwaprove wrong watu so nikaamini atashinda hata kusawazisha kulikuja fasta so nikajua mambo mwakeUnampa Chelsea wakati leo alikuwa anatafuta sare tu.
Me nangojea rekodi tu waje kutupa wakuu😅😅😅
Kisa?Sasa itakuwaje? Maana game ya psg imeharibika
HatariYenye odd ndogo imekuchania mkeka
Huwa najiuliza watu wanatoa wapi ujasiri wa kuweka imani na Ole? Juzi nimesema hapa baada ya kuwafunga Westham hatufiki popote na Ole. Ana uwezo mdogo sana.Unamweka benchi vdb unachezesha left backs wawili hehehehee wallahi km kuna man u mwenzangu humu bado anaamini ktk Ole basi huyo anaweza kuishi hata baharini
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukifungwa ni kuomba psg afungwe, na yeye kapaki bus sijui itakuaje dadeki
Kocha mpumbavu huyu vdb ana nidhamu ya mchezo yn ni heri kale katoto kake trashford kasikopandisha kiwango angekapiga benchi af don acheze 11 dogo Greenwood acheze kati kule kulia acheze bruno awe anaingia ndani.VAN DE BERK SASA NIMEMPANDISHA CHATI RASMI, AMEINGIA LEVEL YA MARTIAL.
Unamweka benchi vdb unachezesha left backs wawili hehehehee wallahi km kuna man u mwenzangu humu bado anaamini ktk Ole basi huyo anaweza kuishi hata baharini
Sent using Jamii Forums mobile app



Kisa?
Aisee kazi ipo.Eti wanasema ubaguzi, kisa mwenye ngozi nyeusi kaitwa mtu mweusi. Baadhi ya Waafrika ni wapumbavu sana sasa ww una gozi nyeusi ukiitwa mtu mweusi unachukia na kusema ni ubaguzi. Pumbavu kabisa
Sasa unataka uitwe mtu mweupe wakati ww ni mweusi, hii kampeni yao naona kuna kitu inatafuta kutoka kwetu Waafrika.
Halafu anapokera zaidi ni mbishi kufanya sub.Rio Ferdinand: “In the past Ole set us up to play five at the back with a lot of attackers (like against PSG), tonight we set up with five when they only had one up top, it was a waste of a centre half. It should’ve changed, Ole didn’t do it and the subs were too late” [BT]
waliosomea uchambuzi na wanaojua mpira wanaonekana kbs hawakubaliani na mbinu za ole.Sasa wabongo tutakuja kutetea ujinga hapa..Fukuza huyu kocha!!!