Ole match za pressure za kushinda hawezi
Hana mbinu
Hana uzoefu
Match Kama hizo wanaziweza akina klop
Ole huwa anashinda kwa kubahatisha +uwezo binafsi wa wachezaji
Ole hana mbinu za kimpira kabisa
Match ambayo inatakiwa ashinde au adraw, anakosa namna kabisa ya kufanya?
Game Kama hizi ndio unaweza kumjua
Morhno ni nan
Klop
Simeon
Yaan game Kama hizo wanazimalizaga mapema!
Kuna game liverpool vs sulzburg,
Uefa ilibid liverpool ashinde ndio aende 16bora na alikuwa away ,uliona alivo Press mpaka sulzburg alikufa gori mbili
Leo hii mnataka ole awavushe kwenye wakati Kama huo, never happen hawez kabisa
Ole katika fainal tano, anaweza akashinda moja, kwa sababu hana mbinu za ushind, huwa anabahatisha kulingana na uwezo wa wachezaji walivoamka