OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Amkeni amkeni ..mumeliwa tenaaaaa



































Nilikuwa namtetea sana ole ila Kuna vitu jamaa hayuko sawa mfano kwa zaidi ya misimu 3 mfululipo De Gea kawa popo lakn anamuamn kinoma, kila game kubwa mind yake inakuwa kuzuia kwanza, sub kachelewa kufanya, game na psg ilionekana kabisa Fred anatuka umeme ila alimuacha hadi akala umeme na ikatu.cost, I lost my faith kwake aseee..Makosa ya jana ya wazi ya Ole
Substitutes
Upo nyuma goli 2, unamtoa most attacking left back (Telles) na unamuacha ndani Luke Shaw ambaye hakuwa na match fitness kisha unamtoa Luke Shaw unamuingiza Brandon Williams ambaye hajacheza senior football kwa muda mrefu
Unaingiza akina Mensah sijui (mabeki) wakati upo nyuma na unahitaji magoli, wakati benchi una Ighalo na James
Mchezaji legend wetu ambaye tunategemea/tunaombea awe kocha mzuri ni clue less
Principle
Unamchezesha Pogba, ambaye takribani masaa 24 kabla ya mechi hiyo muhimu anasema kuwa muda wake wa kukaa United umekwisha. Imagine anaonekana ni mkubwa kuliko Man United, Imagine wachezaji wenzake wanachukuliaje. Ndio, Pogba ndio kasema, agent ni mwakilishi wa mchezaji.
Hapa sijataja makosa ambayo kimsingi ndio yalitutoa kwenye mashindano ya UCL... Ile mechi na Waturuki
Simeon na Morinho ile game wao wangemaliza droo au wangeshinda 1-0, Klopp angeshinda comfortable kabisaOle match za pressure za kushinda hawezi
Hana mbinu
Hana uzoefu
Match Kama hizo wanaziweza akina klop
Ole huwa anashinda kwa kubahatisha +uwezo binafsi wa wachezaji
Ole hana mbinu za kimpira kabisa
Match ambayo inatakiwa ashinde au adraw, anakosa namna kabisa ya kufanya?
Game Kama hizi ndio unaweza kumjua
Morhno ni nan
Klop
Simeon
Yaan game Kama hizo wanazimalizaga mapema!
Kuna game liverpool vs sulzburg,
Uefa ilibid liverpool ashinde ndio aende 16bora na alikuwa away ,uliona alivo Press mpaka sulzburg alikufa gori mbili
Leo hii mnataka ole awavushe kwenye wakati Kama huo, never happen hawez kabisa
Ole katika fainal tano, anaweza akashinda moja, kwa sababu hana mbinu za ushind, huwa anabahatisha kulingana na uwezo wa wachezaji walivoamka
Huyu ndiyo alishauri Ole agewe mkataba na ajiandikie mshahara anaotaka baada ya kuwaingiza mkenge leo anajiondoa taratiiiiiibuRio Ferdinand: “In the past Ole set us up to play five at the back with a lot of attackers (like against PSG), tonight we set up with five when they only had one up top, it was a waste of a centre half. It should’ve changed, Ole didn’t do it and the subs were too late” [BT]
waliosomea uchambuzi na wanaojua mpira wanaonekana kbs hawakubaliani na mbinu za ole.Sasa wabongo tutakuja kutetea ujinga hapa..Fukuza huyu kocha!!!
Hamna kitu kama hichoNasikia Man Utd anaweza kwenda 16 bora Kama psg akifungwa bana
Na huku kazi anayo kidogo EZZ CHEZZ timu yako ilipigwa na timu gani vile huku Europa halafu mkasuluhu tatu tatu?
Hahaha level yako ya hasira nilikua nayo game ya Arsenal na Liva halafu Lacazette akakosa two clear chances.✓Ole aondoke,na Pogba afuatie..
✓Tu-hire kocha aliyeprove kitu hasa kutoka ligi ya Germany,atakayekuja na falsafa za kutufanya mpira wa uhakika uchezwe na mafanikio yapatikane
°°°Tukiendelea kubaki na Ole naamini hata top four hamna this season°°°