Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumbo joto mida hii..

Tutakuwa na meltdown mida ya saa saba humu tukiondolewa UEFA..

Ole na wachezaji tuondoleeni hizi tabu

GGMU
 
★You know Broh he is not Part of us ko yani everything he speaks i gotta mad on it yani sijui kwanini ujue mtu ukishamchukia nazani unajua[emoji37][emoji37]★
mkuu kwani hapo amekosea nini...!!! mbona ameongea kitu cha kawaida kabisa!
AU WEWE UMEELEWAJE!?
 
Hizi pressure zote kazitaka ole tu [emoji3][emoji3][emoji3]

Ona sasa mnaenda kuangalia mpira huku mmeshikilia p**mbu

Kuna watu leo wanapungua uzito Kama kilo tatu ndan ya dakika 90
game itakuwa ngumu lakini Man U anashinda au anadroo
 
Let's do it reds!!!!

Tunamaliza grp tukiwa wa kwanza! Believe

#GGMU [emoji460]
 
Glory Glory Manchester Uniteeeeeeddddd!!!!!!!

We need to win this game!!

Kimsingi tulizingua kule Uturuki yani sshv tungekuwa tumepumzisha key players kwa ajili ya Manchester City.
 
Yeeees...leo uhakika
Screenshot_20201208-221441_Google.jpg
 
Leo ndio ile siku ambayo nilikua naisubiria kila siku jamaa afukuzwe
 
Back
Top Bottom