Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,071
mpaka kipindi cha kwanza kinaisha wote tuna attempts 5
1. greeenwood rashford yupo mwenyewe ampasie tu afunge kapiga mwenyewe kakosa
2. rashford greenwood yupo mwenyewe na yeye badala ya kutoa pasi akaleta tamaa akakosa
3. rashford na speed zote katanguliziwa mpira kauacha nyuma.
tofauti yetu na wao ni hilo, hizo chance zetu wangepata wao pengine tungekuwa tumefungwa 3-2
kokwahyo mkuu unachotaka kusema mpk sshv Kocha hana kosa lolote ila ni wachezaji tu.SIO!?
YOU ARE NOT SERIOUS!

