Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,071
Kwa iyo inakuaje hapo
Man u atapita
bila ushindi au draw hakuna kwenda popote zaidi ya EUROPA
Kwa iyo inakuaje hapo
Man u atapita
Wenzio wanasema wanaona improvement mkuu hawawezi kukuelewa.
u.senge mtupu..tunadefend kama walevi na vitoto kule mbele uselfish tu..Ole hata kuvigombeza hawezi
Another season ruined..Thursday night football here we come


Ngj waje kina PTER na Chifu-Mkwawa wakupe statisticsAnayemtetea Kocha inabidi nayeye ajiangalie mara mbili...haiwezekani timu inacheza mpira mbovu kiasi hiki alaf watu wanatete kocha
kocha wetu HANA MBINU KABISA!! we need a new Coach!




This is disgrace, kocha anahitaji kiungo mmoja mbele sio Telle
Ole miyeyusho sana, yaani alitegemea nn kumuanzisha Matic akimbizane na damu change za Haidara na Angelino pale Kati nje kamuachaa van de beek na Pogba...This is disgrace, kocha anahitaji kiungo mmoja mbele sio Telles
Huyu Ole anasababisha unachanganyikiwa. Matusi ya nini sasa?u.senge mtupu..tunadefend kama walevi na vitoto kule mbele uselfish tu..Ole hata kuvigombeza hawezi
Another season ruined..Thursday night football here we come
Hakuna haja ya yeye kujitathmini afungashiwe virago tu, timu ina kila kitu ila haina mwalimu bora, ogs sio level yetu mkuuHuyu ogs ajitathmini kama anafaa kuendelea kuwa kocha wa man utd endapo tutashindwa kufuzu
mpaka kipindi cha kwanza kinaisha wote tuna attempts 5Anayemtetea Kocha inabidi nayeye ajiangalie mara mbili...haiwezekani timu inacheza mpira mbovu kiasi hiki alaf watu wanatete kocha
kocha wetu HANA MBINU KABISA!! we need a new Coach!
Asifukuzwe, apewe timu ya wanawakeLUKE SHAW
yani unaenda kumuanzisha mtu aliyetoka knwy Injury wala hana match fitness na unajua fika Hii mechi ina pressure unategemea nini!?
Kocha anafanya maamuzi yanayotilia shaka uwezo wake wa kuongoza timu kubwa kama MAN UTD