Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Nasikia waligombana na Bruno kwenye dress roomKumbuka tulitoa £80M kwa mchezaji kama Maguire.
Ukienda Serbia na hiyo hela unarudi na defenders wa maana wanne.
Maguire avuliwe kitambaa abaki kuwa mchezaji wa kawaida.
Bora tungebaki na Smalling kuliko kutoa hela nyingi hivi kwa mchezaji ambaye baada ya msimu mmoja tunatafuta replacement yake.
Maguire should deliver. Hatuna muda wa kubembeleza na hela ya kuchezea.
Tungekuwa na kocha kichaa, Maguire angekuwa anakula mbata akileta ujinga.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
