Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Najaribu kuangalia timu ndogo ya Everton sio moja ya timu kubwa tajiri duniani ila iwa pesa yao kidogo wana fanya sajili zenye AKILI, na sishangai wamekua kwenye top performance na kuongoza ligi hadi sasa.

Wakati mwingine unaweza kua na pesa nyingi lakini hazina msaada wowote kwenye maisha yako kama hujui kuzitumia vizuri zikusaidie katika jambo unalolifanya. Ni upuuzi tu.

Narudia kua timu ya Manchester United iendelee kufungwa game sita mfululizo kwa goli sitasita kila mechi.
Yeah Timu ndogo iliotumia zaidi ya Pound milioni 500,

Everton ukitoa Man Utd, Chelsea na Man City ametumia hela nyingi kushinda yoyote pale Epl, amewazidi Hadi Arsenal na Spurs. Mmiliki wao ana pesa ndefu.
 
Angelikuwa na sifa za mourinho basi ndani ya siku chache zijazo tungelifahamu ukweli uliopo, kama ulivyosema tunapaswa tusubiri muda utupe ukweli uliopo.

option pekee iliobaki ni osmane dembele, barcelona wanatia presha ya kutaka kutuuzia kwa bei ya jumla na si kwa mkopo hii ni kwa sababu wanajua fika tuna uhitaji wa winga wa kulia.

tukijiingiza ovyo wanaturamba.
Suala la winga wa Kulia halikuhitaji lifike hadi deadline day, tulitakiwa tumalize mapema tu, sometime unahisi kabisa wanafanya makusudi kutengeneza Buzz kwenye media.
 
Suala la winga wa Kulia halikuhitaji lifike hadi deadline day, tulitakiwa tumalize mapema tu, sometime unahisi kabisa wanafanya makusudi kutengeneza Buzz kwenye media.
lakini gharama za sancho ni kubwa sana na pengine ed hakutegemea kuwaona dortmund wakiwa na msimamo usioyumba ndio maana uongozi wa klabu wamekuwa wakisita kufanya uamuzi.

ukiachana na sancho bado naamini united hatukuwa na target mbadala
 
Ndo tatizo letu hili hatuna plan B, Hata plan B feki hakuna, tungepiga mikwara kwa mawinga wawili watatu Sancho mwenyewe angetia pressure. Lakini tunafukuzia target moja tu tunakuwa predictable sana mpaka timu zinatuchezea.
 
Yeah Timu ndogo iliotumia zaidi ya Pound milioni 500,

Everton ukitoa Man Utd, Chelsea na Man City ametumia hela nyingi kushinda yoyote pale Epl, amewazidi Hadi Arsenal na Spurs. Mmiliki wao ana pesa ndefu.
kwa miaka hii mitatu everton wamekuwa na matumizi makubwa sana sokoni ila mashabiki wamekuwa wasahaulifu labda ni kwa sababu hao jamaa hawakuwahi kuwa na mwanzo bora sana ukilinganisha na msimu huu.

michael keane= takribani paundi millioni 35
pickford = takribani paundi millioni 35
yeri mina= takribani paundi millioni 25
moise keane = takribani paundi millioni 15
sigurddson = takribani paundi millioni 40
richarlison = takribani paundi millioni 50
lucas digne = takribani paundi millioni 20
n.k
 
Ndo tatizo letu hili hatuna plan B, Hata plan B feki hakuna, tungepiga mikwara kwa mawinga wawili watatu Sancho mwenyewe angetia pressure. Lakini tunafukuzia target moja tu tunakuwa predictable sana mpaka timu zinatuchezea.
kipindi cha van gaal na hata mourinho kwa nyakati tofauti walikuwa wanawasilisha target zao pamoja na option nyenginezo ila changamoto kubwa waliokuwa wanakutana nayo ni mara nyingi kushindwa kuletewa chaguo la kwanza

kwa ole sina uhakika (nikiangalia sakata la maguire, wan bissaka na sancho inaniwia vigumu kuamini)
 
Wachezaji waliopo wanaweza kuchukua kombe wakipata kocha mzuri.

Niambie namba ambayo haina mchezaji wa maana pale United.

Kocha ni mzembe na hajui anachofanya.
Mkuu Bavaria mie nakuunga mikono na miguu kwenye hii kampeni yako ya #Oleout ingawa huisemi moja kwa moja bali unajaribu kuwaonyesha watu kwa mifano kabisa.
 
kipindi cha van gaal na hata mourinho kwa nyakati tofauti walikuwa wanawasilisha target zao pamoja na option nyenginezo ila changamoto kubwa waliokuwa wanakutana nayo ni mara nyingi kushindwa kuletewa chaguo la kwanza

kwa ole sina uhakika (nikiangalia sakata la maguire, wan bissaka na sancho inaniwia vigumu kuamini)
Na kuweka kumbukumbu sawa,karibia kila press na media Ole anatuhakikishia anaridhika na kikosi alichonacho na management inamsapoti.
 
Back
Top Bottom