Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii ni transfer window ambayo imenikatisha tamaa kuliko zote toka nimeanza kuishabikia united.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
relax muheshimiwa,
wajumbe wetu (ed woodward na matt judge pichani) bado wanatafuta wachezaji sayari ya mars (nasikia huko bado ni tarehe 5)
1601969729284.png
 
kwamba alitakiwa asajiliwe Wigan Athletic ya Championship?
darmian alifeli manchester united akauzwa parma
baada ya msimu mmoja hatimaye inter milan wamevutiwa na huduma yake
naizungumzia inter inayofundishwa na antonio conte

hoja yangu iko hapa
  • darmian alikuwa ni asset ilio vumbini
  • au ugumu wa ligi ya uingereza ulipelekea kiwango cha darmian kififie
  • je ligi ya italy ni dhaifu au wana coaching staff bora (rejea hata ishu ya lukaku)
  • kama ligi ya italy wana coaching staff bora mbona eriksen anateseka,
 
Sisi mashabiki maandazi na donati tunajua uko hivyo.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Anzisha timu yako ndio uiendeshe ivyo au unafikiri zile timu kama za kwenu huku Simba na yanga kule kuna misingi yake ya kuendesha na kuna watu brilliant kwaio kila lililofanyika kuna kitu wamekiona na kimepangwa hakuna vitu vya bahati mbaya Kule...sasa wewe kaa tu huko buza kwa mpalange endelea kuropoka
 
Ni kweli hapa Buza kwa mpalange tunaamini hivyo.

Kuhusu kuanzisha timu tuombe uzima itapendeza siku moja ukiwa shabiki wa timu yangu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Timu inapofanya progress tunaacha kufanya usajili wa kuziba mapengo tunafanya usaji usio na msaada kwa timu.

Mfano msimu huu tulipaswa kusajili wachezaji hata watatu muhimu.

Right wing, central defender na Striker.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Centra defender kwa nafasi ya nani? Maguire au Lindelof?
 
Back
Top Bottom