NtYga
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 4,945
- 12,695
★Acha niamini tu maana nimefurahia hili swala★
Fake
Fake
Wacha kuiweka karibu Everton na Man utd kwenye sekta ya pesa unajiaibisha.Huo ni utajiri wa Asset na thamani ya timu unaosema wewe, wanahesabu thamani za uwanja, wachezaji, deals za club etc
Niliokutajia mimi ni kiasi Ambacho club imetumia kusajili, Everton wana Bilionea ana mpunga mrefu wametumia hela nyingi kusajili. Wametumia pound milioni 500 toka Aje huyo mmiliki. Wana wachezaji kibao ambao wamewanunua zaidi ya pound milioni 30, hivyo si club ndogo kama unavyofikiria unless unaongelea mazoea. Same kwa Aston Villa, mpunga wa kutosha wamemwaga.
Hapo watatu ndo watatumika hao wengine badoDonny Van De Beek✓
Edinson Cavani✓
Alex Telles✓
Facundo Pellistri✓
Amad Diallo✓
Ole tumia resources hizo to the maximum,Grace period is over
Sancho basi hawahangaiki nae tena huyo Dogo traore ni right winger na huyo facundo anacheza left na right winger kwaio habari za Sancho hutozisikia tena maishani mwakohizi sajili za mwishoni za man utd, siyo ajabu Sancho alisharipoti Carrighton
Pellistri anakuja direct kwenye first team(not first eleven),kwa nini hatotumika?..au unadhani atakuwa anakaa nyumbani kama Jones..Hapo watatu ndo watatumika hao wengine bado
nafikiri atapelekwa team za vijana au under 23 ili kuona muelekeo wake.Pellistri anakuja direct kwenye first team(not first eleven),kwa nini hatotumika?..au unadhani atakuwa anakaa nyumbani kama Jones..
Nasema Ole atumie hizo resources,honeymoon is over
Usajili wa watoto na wazee.Donny Van De Beek✓
Edinson Cavani✓
Alex Telles✓
Facundo Pellistri✓
Amad Diallo✓
Ole tumia resources hizo to the maximum,Grace period is over
Pochetino ameanza kuhususishwa kuja kuchukua role ya Ole pale united, zinaanzaga chinichini hivihivi mwishowe inakua kweli.
sasa dawa Ni kufungwa tuu mechi zote

) ila kwasasa tuna nafasi kubwa pia kumwaga maji kutoka kushoto kwa kumtumia Telles hii ni advantage kubwa kwa Cavani kumtungua Kepa na kwenda kushangilia kama sniper kwenye kibendera.
ana pace ya kutosha, ninachotegemea yeye na Rashford watakuwa wananikimbizia vi-RB uchwara kama Trent.
) na kutoa tu hamasa kwa wachezaji kwa u-legend wake jambo ambalo pia sioni kama limeleta mafanikio makubwa uwanjani zaidi ya kuiweka tu timu pamoja. Timu haina muunganiko uwanjani na wala ile fighting spirit, it's like United players don't want to win anything in football. Huwa nikikaa nawaonea huruma sana wachezaji kama De Gea na Pogba kuwa na vipaji vikubwa ila hawashindi mataji ya makubwa na ya kutosha. Hii timu inatuaminisha De Gea ni mbovu, Pogba mbovu, Maguire mbovu, AWB mbovu, James mbovu na Bruno naye maskini anaanza kuonekana mbovu: Pumbavu! fumua coaching staff yote.Ha ha ha haPochetino ameanza kuhususishwa kuja kuchukua role ya Ole pale united, zinaanzaga chinichini hivihivi mwishowe inakua kweli.
sasa dawa Ni kufungwa tuu mechi zote
AsijePochetino ameanza kuhususishwa kuja kuchukua role ya Ole pale united, zinaanzaga chinichini hivihivi mwishowe inakua kweli.
sasa dawa Ni kufungwa tuu mechi zote
Huyo Pelestri ndiyo winger wa kulia tuliyemsajili ?nafikiri atapelekwa team za vijana au under 23 ili kuona muelekeo wake.
kwa ufupi dirisha limemaliza bila usajili wa winga wa kulia anayetambulika ila haitokuwa sababu ya kutufanya tuendelee kucheza vibaya kama mwalimu atakuwa makini na kazi yake.
Na endapo edison cavani atatupa huduma kama ile tulioishuhudia kwa zlatan ibrahimovic basi sitokuwa na presha kubwa sana na itakuwa ni muda muafaka kwa martial kurudishwa nafasi yake ya kushoto(apende au asipende) na rashford kupelekwa upande wa kulia.
Umenena vema ndugu!REVIEW YA USAJILI
My ratings kwenye usajili dirisha hili naupa 4.5, kwanini?
1. Tumeonyesha ni jinsi gani hatujui mahitaji muhimu ya timu yetu: CB, DMF, RW.
2. Hakuna uharaka wa kukamilisha sajili tunazozihitaji, muda unatolewa wa kutosha ila tunakuja kufanya sajili mwishoni: hii imeathiri pia dili la Traoré kutoka Atalanta kwa uzembe wa board sasa tunasubiri mpaka January kumpata mchezaji.
3. Kununua zaidi ya mahitaji: Una James, Martial na Rashford bado unaongeza mawinga wengine wawili (huku ikisemekana kuna Stevanović) wanaohitaji coaching staff nzuri kukuza vipaji vyao na hakuna uhakika wa kocha kuwa na ubora kuwakuza kisoka.
NEW SIGNINGS RATING
CAVANI - 7.5
Hapa kidogo timu imeziba eneo lililokuwa linakosa mtu makini wa kulitumikia, huu ni usajili bora kwangu. Nimeona wengi wakitoa comments za umri na mfumo wa Solskjær havitaendana na Cavani na hivyo huenda akafeli United.
My comment is NO! Cavani is the right person at the right place and at the right time. Tukiwa tunaendelea na re-building tunastahili kuwa na mtu kama Cavani kwa short term goals. Moja ya namba ambayo mchezaji huwa anatakiwa awe fit kwa kila mfumo ni Striker, ukiwajumuisha Goalkeeper na Back Players: maana mifumo yote kazi yao huwa ni sawa. A real Striker hapaswi kuwa na excuses akiwa katika final third ya timu pinzani anatakiwa kuwa tayari ku-receive mipira kutoka pande zote za uwanja na kufunga na Cavani hicho kitu anacho kwakuwa ni Striker ambaye hategemei kufunga kwa kichwa tu kinachofanya aonekane vile ni kwa timu alizochezea kuwa na mfumo tofauti na wa United (mfumo wenyewe hata hatuna kudadeki) ila kwasasa tuna nafasi kubwa pia kumwaga maji kutoka kushoto kwa kumtumia Telles hii ni advantage kubwa kwa Cavani kumtungua Kepa na kwenda kushangilia kama sniper kwenye kibendera.
TELLES - 9.0
YES! Wengi wanasema siyo mzuri kwenye defending, sorry for them. Kazi kuu ya beki ni kuzuia na kila beki huwa na aina ya mchezo wake: Telles ni usajili utakaoimarisha safu yetu ya ulinzi na upande wetu wa kushoto vizuri sana. Yupo vizuri katika mashambulizi na ana nguvu za kuweza kupambana na vi-Striker uchwara kama Timo Wernerana pace ya kutosha, ninachotegemea yeye na Rashford watakuwa wananikimbizia vi-RB uchwara kama Trent.
TRAORE - 5.5
Sina mengi ninayoyajua kuhusu huyu dogo, ila kwa jicho la scouts wetu naamini atakuwa na kitu miguuni mwake ila sina imani na kocha anayewalea hawa watoto.
PELLISTRI - 4.5
Katoka ligi ambayo kidogo haipo kwenye macho ya watu wengi ila narudia tena kwa jicho la scouts wetu naamini atakuwa na kitu miguuni mwake ila sina imani na kocha anayewalea hawa watoto.
Nawakumbusha tu tayari pia tuna Winger kutoka Serbia: Filip Stevanović.
YOUTH, COURAGE, SUCCESS.
Naiona hii kaulimbiu ikiturudisha katika mafanikio baada ya miaka miwili hadi mitatu. Timu yetu itakuwa na damu changa ambayo imeanza kukinukisha bado wakiwa madogo tu, naitabiria United kuja kuwa na real talents kila eneo na naona timu imewekeza sana katika washambuliaji kitu ambacho ni kizuri kwa soka la sasa na baadae maana kupata washambuliaji wazuri ni vigumu.
COACHING STAFF & BOARD COMMENTS
Imani yangu kwa Solskjær na benchi lake la ufundi imeanza kupungua taratibu sina imani na ufundishaji wake naona kama ni mtu anayesimamia tu mazoezi (jambo ambalo hata Kepa Arrizabalaga na mimi tunaweza) na kutoa tu hamasa kwa wachezaji kwa u-legend wake jambo ambalo pia sioni kama limeleta mafanikio makubwa uwanjani zaidi ya kuiweka tu timu pamoja. Timu haina muunganiko uwanjani na wala ile fighting spirit, it's like United players don't want to win anything in football. Huwa nikikaa nawaonea huruma sana wachezaji kama De Gea na Pogba kuwa na vipaji vikubwa ila hawashindi mataji ya makubwa na ya kutosha. Hii timu inatuaminisha De Gea ni mbovu, Pogba mbovu, Maguire mbovu, AWB mbovu, James mbovu na Bruno naye maskini anaanza kuonekana mbovu: Pumbavu! fumua coaching staff yote.
Board imeleta kila zana sasa ni muda wa Solskjær kuonyesha uwezo wake katika football coaching, kitu ambacho naona atafeli, natamani afanikiwe United as a coach ila uwezo wake kufundisha unamuangusha. Board imenikera kwa kumkosa Sancho ila naona mwanga wa United mpya.
Arsène Wenger once said; "At a young age winning is not the most important thing... the important thing is to develop creative and skilled players with good confidence."
Jambo ninalowaomba board ya Manchester United kama walivyofanya kwa kocha aliyepita warudie hivyohivyo mapema kabla ya Christmas.
Namalizia kwa kusema kwamba;
JAMANI SOLSKJÆR HAJUI NA KUNA WATU HAWATAKI KUAMINI KUWA OLE GUNNAR SOLSKJÆR HAJUI.
.
.
.
.
.
Hata mimi mwanzo nilikataa hivyohivyo.