Chong alihitaji kujengewa confidence na physicality.
Kama tulikosa vyote hatukumuona hata Samuel Chukuweze pale Villa Real ??
Sent from my SM-A105F using
JamiiForums mobile app
Chong nilimfatilia kwa makini sana,,sio talented kama greenwood,japokuwa walipandishwa pamoja,,
Ndy maana alionyeshwa mlango wa kuuzwa,
Alikuwa mzito ktk maamuzi,,pia alipoteza uwezo wa kujiamini tofauti na madogo wengine waliopewa nafasi wakazitumia mfano rashford, Brandon,greenwood, Henderson,,
Ulishasikia mashabiki wakipiga kelele kuhusu kuuzwa kwake?
Ndy ujuwe mashabiki walishamuelewa uwezo wake ulipoishia.
Kuna wachezaji huwa viwango vinadumaa,,haonyeshi improvement yeyote,,ktk benchi la ufundi,,
Kwa kifupi chong hakuwa game changer..and he will never be.. No regret sold him.