😝 😝 😝 😝 sasa nataka uefa champions leagueUeafa europa league uefa champions league swali lako lilijikita kwenye uefa hujapata point tu?mashindano yote yapo chini ya uefa.
kwa mujibu wa taarifa douglas costa alihitajika kwa mkopo ila Juventus walitukatalia, cha ajabu wamempata kwa mkopo.Wangemsajili hata David Brooks wa Bournemouth siyo hawa watoto wasiojulikana.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hakuna mchezaji mby u-tube mkuu hata fellaini ataonekana fundi, ila tusubiri tuone.Huyo Amad Traole kwa nilichokiona kwenye video zake basi sancho tunaweza kuachana nae tukaendelea kuchek mtu mwingine wa bei chee ni mzur sana tena sana kama anachokionesha kikaendelea had kwenye hii timu.
Hawawezi kumponda.'lets wait for his sacking'
Ila OGS uwa kuna sometym ananifurahisha somtym ananikwaza, yaani yupo up and down ila naona wachezaji wanaimani nae, kina bruno, de gea wakifanyiwa interview uwa wanamsifia
Waingereza sinaga imani nao, abaki huko huko.Wangemsajili hata David Brooks wa Bournemouth siyo hawa watoto wasiojulikana.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hata mimi huu ndio msimamo wangu, OGS atumie risasi zote alizonazo, tofauti na hapo njia nyeupe no excusesDonny Van De Beek✓
Edinson Cavani✓
Alex Telles✓
Facundo Pellistri✓
Amad Diallo✓
Ole tumia resources hizo to the maximum,Grace period is over
Aje Simeone na asivurugwe au Conte.Asije
Pale Spurs kafanya lipi la maana zaidi ya kufika fainali UCL
Hana hata kikombe cha Carabao
Timu inapofanya progress tunaacha kufanya usajili wa kuziba mapengo tunafanya usaji usio na msaada kwa timu.kwa mujibu wa taarifa douglas costa alihitajika kwa mkopo ila Juventus walitukatalia, cha ajabu wamempata kwa mkopo.
man utd tunapopata tiketi ya kucheza UEFA ndio tunakuwa wagumu kuingia sokoni au tunaishia kufanya sajili za michepuko
2015/2016 : tuliwasajili schneiderlin, depay, martial, sergio romero(free), schwensteiger na darmian
tuliwauza: Di Maria, Chicharito, RvP, Nani, Jonny Evans na rafael
2018/2019 : tulimnunua diogo dalot na fred
Huyo Amad Traole kwa nilichokiona kwenye video zake basi sancho tunaweza kuachana nae tukaendelea kuchek mtu mwingine wa bei chee ni mzur sana tena sana kama anachokionesha kikaendelea had kwenye hii timu.
Ila una imani na huyo mtoto wa miaka 18?Waingereza sinaga imani nao, abaki huko huko.
Masmilliano Allegry ndiyo kocha pekee aliyeko sokoni anayeweza kuifundisha united na kuipa mafanikio.
Ameprove katika vilabu viwili vikubwa duniani kuwa he is capable of doing the job.
Tatizo lililopo United usajili unaofanywa na Bodi hata kama kocha angekuwa na cv kubwa kiasi gani hawezi kufanikiwa kwa sababu hatapewa mahitaji wanayoyataka.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
hizi ndio sajili zilizohitajika na target za uhakika zilikuwepo sokoniRight wing, central defender na Striker.
Hata Chong ana afadhali
Je huyu dogo atakuwa James mwingine katika Manchester United tuvute subira tu ili tuone.
nafikiri tatizo ni kibali cha kazi
Jimenez angeweza kucheza mfumo wowote pale united, na ameshaprove kwenye epl.hizi ndio sajili zilizohitajika na target za uhakika zilikuwepo sokoni
Sancho na upermecano usajili wao haukuepukika.
mshambuliaji tungelipapatuana na wolves(kama tungelishindwa ndio tungelimtafuta cavani)
jumla: paundi millioni 180
Board imemwangusha ili wapate muda wa kumfukuzaKinachonikera kuhusu Ole ni uwezo wake wa kawaida sana wa kufundisha, lakini kikubwa kinachokera he is not bold, hawezi kusimamia anachokitaka
Ole alimuhitaji sana Sancho, Ole alihitaji sana kuimarisha beki ya kati, lakini akanyimwa hao watu... Lakini ameridhika tu kwa kuwa yeye kuendelea kuwa kocha man utd ni kama yupo peponi hivi, he can't stand up for what he wants
huyo dogo hakuwepo kwenye mipango rasmi ya klabu (hivi majuzi alivumishiwa kuelekea parma kwa mkopo ndio man utd wakajiingiza)Kibali cha kazi ndio kimezingua, sababu muda ulikwisha
Tunarudi kwenye bodi, kwani dirisha la usajili lilikuwa jana tu, miezi takribani 2... imepotea sababu ya Ed the banker who turn out to be Vice CO & sporting director of Manchester United