Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man u ina matatizo makubwa:-

Kuna matatizo ya Tajiri

Kuna matatizo ya management

Kuna matatizo ya kocha

Kuna matatizo ya wachezaji

Kuna matatizo ya mashibiki.

Mtafukuza makocha mpaka lini? Tatueni tatizo la msingi (Uongozi wa club).
Huwezi tatua uongozi wa club kwasababu wao ndo wamiliki.

Na huwezi mpangia mmiliki nini cha kufanya.

Kilichobaki ni kufukuza kocha mpaka apatikane mwenye ujuzi.
 
huyu dogo anajua ni kama tu Djames kipind anafika man utd,bt shida ni kwamba Djames alikua kama huyu kocha akamdidimiza kipaji chake je vip kuhusu huyu pia? ukiangalia kwa umakini utagundua huyu ni daniel james wa pili hivo bado tunarud palepale ila kocha afukuzwe tu hana jipya kiufund. Yani eti pogba, Djames, bissaka, maguire wote hawa hawajui na hakuna kocha alichowaongezea sasa hata bruno ameanza kupoteza makali
Bissaka anaujua sana
JamiiForums600533183.jpg
 
Uongozi mbovu - Kocha mbovu (OUT)

Uongozi mbovu - Kocha Mzuri (OUT)
kocha mzuri ila hafikii malengo yake kwa uongozi mbovu uliopo, hazikilizwi na uongozi, hasajiliwi wachezaji anaowataka, mwisho anafeli OUT

Uongozi mbovu - Moyes OUT
Uongozi mbovu - Vangaal OUT
Uongozi mbovu - Morinyo OUT
Uongozi mbovu - Ole OUT
Uongozi mbovu - Next OUT
Uongozi mbovu - Next OUT

Uongozi mzuri - Kocha mzuri = TROPHIES
Bahati mbaya timu ni yao....hatuna cha kuwafanya.
Ni kukaa kwa kutulia tu.
Wakiporomoka sokoni ndio wataamka.
 
Mashabiki wenzangu wa man huwaga nawashangaa sana wengi wenu ni outdated sana ngoja leo niwaambie kitu, siku hizi mpira umebadilika sana kuanzia uwanjani mpaka kwenye uwekezaji na lazima ujue kabisa kuna kitu cha kuitwa long plan au future plan hiyo kwenye kampuni ndiyo inaitwa vision kwaio nashangaa wanaobeza kununuliwa kwa hao madogo pasipojua kuwa kuna siku za mbeleni pia..kila management lazima iwe committed na kubalance kwa vitabu huwezi tu kuendesha taasisi kwa kutoatoa tu hela pasipo angalia je kuna balance, wengi mnalalamika tulikuwa tunataka mchezaji fulani, sawa lakini kwa $100 iyo ni hela kubwa sana kwenye uwekezaji lazima watu waumize vichwa kwanza kabla ya kutoa lazima wajue mbinu mbalimbali ili waweze kuishusha au kuipunguza hiyo pesa wanayotaka na hapo ndipo kuna definition nzima ya business ama investment.. Kwangu mimi board ipo sahihi kabisa walichofanya..
Cavani ni proven goalscorer ni world class striker watu wengi hawajapenda kwa sababu yeye sio jadon sancho... Who is Sancho by the way..
Amad traore ni young talent mwenye potential kubwa sana kumbuka hata huyo Sancho hakuwa Sancho miaka mitatu iliyopita bali alikuwa kama traore tu sasa kama mwenzako kaweza kukuza kipaji chake wewe unashindwaje kukuza kipaji cha amad traore..
Telles ni moja ya left back mzuri sana kwa wakati huu atasaidia sana kwenye timu hilo halina shaka
Mimi naona mashabiki tupunguze lawama sasa ni muda wa kutazama kipi watatuletea hawa watu najua management wana kusudio lao kwa hawa players na timu kwa ujumla basi haina budi kuwasapoti
 
hayo yote ni sawa hata mm nimefurah angalau bt tusipobadili kocha ni kazi bure mkuu mana sioni anachoongeza kwa wachezaji mana kila kukicha viwango vina drop tu.
 
The best 007,

Hujiulizi ni kwa nini chini ya Ed ndani ya miaka 7 tu, tumekuwa na makocha 5? Ni kweli Ole ni kocha mbovu lakini nani amemuaajiri kocha mbovu? Nimesema hapo juu ukifanya observation ndogo tu, Manchester United tumekuwa na football executives wanne tu ndani ya miaka 28 iliyopita toka Premier League ibadilike na sisi ndio tuliofanya vizuri ktk mfumo mpya tumebeba mara 13. Lakini ktk hao football executives wanne kuanzia Martin Edwards (1980-1997), Peter Kenyon (1997-2003), na David Gill (2003-2013) hawa wote wamefanya kazi na kocha mmoja tu kipindi chote hicho na kila mmoja amebeba EPL zaidi ya mbili. Kwa nini Ed Woodward amefanya kazi na makocha 5 na hajashinda kombe la EPL ndani ya zaidi ya miaka 7? Kama factor ya kuwa na timu bora ni pesa basi Ed ndiye aliyepaswa kuwa na timu bora zaidi chini yake maana hata ukifanya inflation adjustment yeye ndiye aliyetumia pesa kuliko chief executives wote waliomtangulia.

Bado tu unaamini tatizo la Manchester United ni kocha? Are serious bro? Okay, tufanye kweli tatizo letu ni kocha. Je ni nani anayewaajiri hawa makocha wabovu? Kumbuka wachezaji ni end products ya talents baada ya ku-assemble best talents from coaching staffs to recruitment teams na mwenye jukumu la kufanya hili ni football executive. Hata aje malaika kuwa kocha wa timu ukiwa na football executive mwenye uwezo mdogo ni sawa na kuigeuza Tanzania iwe sawa na Marekani kiuchumi.
Mkuu kuna falsafa flan ya united sijui niliwaza vibaya, itanisahihisha.....

United ilikuwa ikisajili vipaji pekee lkn ilikuwa na tabia ya kuangalia mchezaji mwenye multi flan,at least aweze kupata makampuni makubwa yadhamini via huyo mchezaji
Beckham nk
 
Back
Top Bottom