mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,363
- 21,441
Maana yake ni kwamba EPL alionekana wa kawaida huko aliko anafunga,,huoni kama huko hakuna wachezaji bora kuliko EPL..Ndiyo uelewe sahihi heri huyo Chong ameshazoea mazingira epl kuliko hao watoto wadogo.
Tusitetee upuuzi huu usajili tuliofanya ni upuuzi hautatusaidia chochote.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ndy maana kila siku mfalme ni mmoja tu bundersiliga tofauti na EPL..
