Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

.....siwezi kusahau maneno ya Brendan Rodger, alisema baada ya Ferguson kustaafu United itapita kwenye wakati mgumu sana. Na ndio tunachokiona kwa sasa.

Na akaongeza, united fans mnabidi muwe na roho ngumu kama wale wa liverpool na Milan ya Gang Chomba. Ufalme wenu umeshafika mwisho. Itapita miaka na mikaka kurudia enzi zenu.
Na huo ndo ukwl wengi hawatak kukubali.. Yan itachukua miaka na miaka man United kua bingwa wa ligi.. Ndo yanayo mkuta mpk saiv Liverpool
 
Wale walikuwa wanalalamika kuwa Kocha atawakimbiza tu wachezaji mazoezini Mpo wapi? ...Manchester United wachezaji wetu wapo fit sana nadhan tumeonada jinsi wachezaji walivyopambana bila kuchoka pia hii pressing Imesaidia sana kubadili mchezo wetu.... We are Manchester united....see you at the top

Which top? labda tuanzie hapo
 
Na huo ndo ukwl wengi hawatak kukubali.. Yan itachukua miaka na miaka man United kua bingwa wa ligi.. Ndo yanayo mkuta mpk saiv Liverpool
Sema ndo yaliyomkuta Liverpool. Ametoka kwenye huo muda wa mpito alioupitia kwa muda. Ndo maana ameanza win trophies.
 
Magazeti bhana. Kumbe hata hatukuwa serious na huyu dogo
skysports___B11OEznj5DD___.jpeg
 
Uzuri haka kawimbo huwa kapo kila msimu..
WATU WAANZA NA MUNKARI TUNAVYOZIDI KWENDA UKINGONI, wanaanza Ole sio kochä.
Nawaambia hivi, ikifika decemba kuelekea mwakani MTAMKUMBUKA hata Lukaku...

Wewe unastahili kupewa tunzo ya heshima NOBLE PRIZE mwaka huu kwa kuona mbali!

Lakini wacha utani December ni parefu bhana! Ni hiihii August tunaanza kuyashuhudia uliyoyatabiri.
 
Back
Top Bottom