Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Unanifananisha ,aisee Mimi nilisema mapema Leo man u anashinda 3+ ,na nikawaambia wapiga zumari wa Chelsea wajiandae kisaikolojia ,maana hakuna asiyekijua kikosi cha Chelsea msimu huu, hata cha Everton au Watford ni vizuri .Ww na mwenzio @ollachuga mlisema mechi ya leo man u analala. Kuwa man hawana kikos imara kuliko chelsea. Leo man u hao hao wabov wamewanywa chelsea... unadai kipimo halisi ni wolves ? Hiv mnatosheka nyie..
Mm nasema kipimo halis ni man city na liverpool


.