Sina sababu ya kumtafuta vuvuzela la Chelsea ndugu yangu Ollachuga Oc tuliagana zamani kabisaa 😂😂😂 |
Baada ya muda mrefu sana mkuu... Ile pass siyo ya kiwango cha BRT ni SGR[emoji1487]Nawatakia Eid Mubarak wakuu
Defense splitting pass!Baada ya muda mrefu sana mkuu... Ile pass siyo ya kiwango cha BRT ni SGR[emoji1487]
Huyo baada ya wiki mbili utamwona kwani tayari kashajipiga ban.Mnaweza kunitafutia huyu mdau 🔦
Kelele zimeanza.[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]View attachment 1178562